ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,952
- 13,876
🙄🙄🤣🤣🤣DuhhVitu vingine kujifanya fundi wa mapishi ni kuharibu.
Sasa hapo utadhani mavi ya uharisho ya mtoto mwenye degedege. Khaaah
Nweii tumejua uko mbugani, Relaaxxx.
🙄🙄🤣🤣🤣DuhhVitu vingine kujifanya fundi wa mapishi ni kuharibu.
Sasa hapo utadhani mavi ya uharisho ya mtoto mwenye degedege. Khaaah
Nweii tumejua uko mbugani, Relaaxxx.
Sisi tunawekaMh hii ngeni
Nitakuja nijaribuSisi tunaweka
Ndizi, viazi vikubwa kma vitatu, kipande Cha gimbi, kipande Cha boga, nyama, na viungo vingine so far ni choice ya mtu
Unaona sasa!!! Unaweza kuta lina sababu ambazo linazijua lenyewe linataka kuja kumalizia kwa binadamu.Kashawai nikimbiza ase af sikumuona kabisa uzur nyumba haikuwa mbali
Acha kabisa punda sio wakali kabisa pundamilia hawanashida ila hawa ukikutana nao njian una stop kwanza kama una gar unapiga on tyUnaona sasa!!! Unaweza kuta lina sababu ambazo linazijua lenyewe linataka kuja kumalizia kwa binadamu.
Au nasema uongo?🙄🙄🤣🤣🤣Duhh
Kulikoni mbona una mnanga mleta mada🤣🤣🤣?!Sasa udugu em ona enye maboga? Hadi kichefu chefu. Rojo rojo la uharisho kabisa hili.
VETA kuna mtihani wa Taifa, wee hujui?
😂😂😂😂😂
Mie nimesema tyuh, hata sija mnanga eti.Kulikoni mbona una mnanga mleta mada🤣🤣🤣?!
Majani yake ni Veggie yangu pendwa hii miezi 😋🤭
MmmhVitu vingine kujifanya fundi wa mapishi ni kuharibu.
Sasa hapo utadhani mavi ya uharisho ya mtoto mwenye degedege. Khaaah
Nweii tumejua uko mbugani, Relaaxxx.
Nimetoka kuyala muda huu
Huo ushuzi wake uutoe mara paap na unapata mgeni wa ghafla😁
Nini?Mmmh