Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #21
Ahaha we utaweza kula?Siku moja tupikie nyama za hao jamaa ndugu zake konde boy
Ahaha we utaweza kula?Siku moja tupikie nyama za hao jamaa ndugu zake konde boy
Jamani, sio vizuri 😔😔Pole leo nimekukomesha utulie kwako 😂
Ahahah ila sio mbaya nitakuchomea maindiJamani, sio vizuri 😔😔
Naomba upike tambi za nyama.Ahahah ila sio mbaya nitakuchomea maindi
Nitapika juma 3 hapa ukuje sasaNaomba upike tambi za nyama.
Nitakuja na juice.Nitapika juma 3 hapa ukuje sasa
Isiwe artificial tu 😂Nitakuja na juice.
Si natengeneza mwenyewe.Isiwe artificial tu 😂
Ndio ndioSi natengeneza mwenyewe.
Leo sasa nimeunga yale yakuchemsha unakula na kijiko unakwangua mpaka ukoko wa kijani unakuwaweupeeNimekula sana hii kitu utotoni, lkn ya kuchemsha.
Sasa hiyo mudubwasha hapo nje ina masikio kama kitenge cha congo utavuna kweli hayo maboga?Leo sasa nimeunga yale yakuchemsha unakula na kijiko unakwangua mpaka ukoko wa kijani unakuwaweupee
Sijalima nimenunua uku sipandi kitu zaid ya mauaSasa hiyo mudubwasha hapo nje ina masikio kama kitenge cha congo utavuna kweli hayo maboga?
Maana yanapenda sana hiyo kitu.
Mh hii ngeniBoga unaeza pikia mtori unatumia km kipande kidogo, ama chakula Cha kichaga flani hivi
HApo sawa.Sijalima nimenunua uku sipandi kitu zaid ya maua
Na sasaiv mvua hawapendi tope so wanasogea uku juu kwenye hakuna topeHApo sawa.
Hayo madudu hayana akili, yanaweza pandisha hasira bila hata sababu za msingi.Na sasaiv mvua hawapendi tope so wanasogea uku juu kwenye hakuna tope
Kashawai nikimbiza ase af sikumuona kabisa uzur nyumba haikuwa mbaliHayo madudu hayana akili, yanaweza pandisha hasira bila hata sababu za msingi.
Mimi mzee wa kupata chupa mbili ndio nirudi home siwezi ishi mazingira kama hayo.