Tupike kashata za nazi

Tupike kashata za nazi

Samahani uli kalia kigoda ndio uka kuna nazi au uli kalia ile mbuzi?.

Zulu man, Vishu Mtata njooni mpike kashata.
Mbuzi namna hii
1759679302873.jpeg
 
Hapo lazima akalie mbuzi kukuna nazi , akikaa kwenye kigoda mbuzi itakosa balance wakati wa kukuna , na akikalia mbuzi lazima afyetue kiuno kidogo ili akune nazi, njia nzuri kutunza heshima ya kiumeni ni kukaa upande miguu ielekee upande mmoja 🤣View attachment 3483940
Kwenye cm yako kuna picha ina kosekana ya kitu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom