Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Hell
Mliomba sana nipike kashata za nazi hizi hapa
Kwanza kuna nazi yako vzr tu
Ukisha maliza anza kuweka maji kwenye sufuria yako kisha weka sukari pamoja na vanila acha vichemke kiasi iwe ina nata nata fanya kama hivi
Baada ya hapo anza kukologa pole pole ukiwa teyari umesha weka nazi yako yaan machicha ya nazi
Hakikisha ukiipua nazi yako haina maji iwe kavu kisha weka kwenye ubao au mezani anza kukatakata uku umewasha feni ili ziwai kukauka
Utakata style uipendayo wewe mimi nimekata style hii