Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #21
We mzee na yule bibi una muacha wapi ase tosheka umri usha enda utafia kitandaniVijana inaonekana wanatamani Sana wanawake wajuzi wa mapishi Hadi kukuvutia picha kama binti/mrembo unayeweza kuteka wanaume kwa upishi...
Lakini pole Sana, ndio changamoto hizo .😅
Hata Mimi nikihitaji kuongeza mke wa 3 nitatembelea jukwaa la mapishi....kule selfika kwa wabinua viuno sipataki tena.