Tupia Uwezo Wa Phone Yako Hapa

Tupia Uwezo Wa Phone Yako Hapa

Natoa angalizo wekeni vyote lakini mhakikishe hizo picha zenu hazionyeshi IMEI number
 
Nipo Apple as a CO worker,so usishangae mdogo angu
Nitume screenshot mnidukue? najua haya mambo kabla ya simu ya kwanza ya Siemens kuingizwa sokoni.
Tujulishe na sisi KakaMkubwa inaonekana una mengi tusiyokuwa nayo
 
IMG_20180103_132207_422.jpg

kuna jingine?😎
 
Back
Top Bottom