Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Tunaishi katika ulimwengu wa kiteknolojia sasa....,vitu vilivyotumia muda mwingi kukamilika zamani sahivi vinAtumia muda mchache mno.....,mengi kati ya haya yamerahisishwa na uwepo wa simu za kisasa.......,hasa smartphones.....,simu hizi huboreshwa kila kukicha ili kutoa huduma bora zaidi kwa watumiaji....,
Tupia image inayoonyesha uwezo wa phone yako hapo kwa kwenda kule about phone.....,na kwenye storage....,kisha piga screenshot....,
Naanza..... ,
Tupia image inayoonyesha uwezo wa phone yako hapo kwa kwenda kule about phone.....,na kwenye storage....,kisha piga screenshot....,
Naanza..... ,