Kama hujui wanaoiweka arsenal bingwa ndiyo wako siliasi siyo nyie makomedian mnaowaweka hao man u
Totenamu hatakuwepo japo wengi mnadhani yupo vizurimancity
liverpool
arsenal
totenham
Sasa kama hawataki kucheza chini yake wanachukuaje ubingwa
siangalii mpira ila najua itakua penati ya dhulma tuPepo linaongoza goli moja kwa penati kafunga pogba.
Spurs wapo vizuri kamanda,upande wangu nawapa nafasi ya kufanya vyema.Mkuu hapo kwa Spurs nina mashaka napo
Mkuu ligi ndo inaanza...Kama hujui wanaoiweka arsenal bingwa ndiyo wako siliasi siyo nyie makomedian mnaowaweka hao man u
Tuliisubiria kwa hamu subiri game tano za mwanzo uone msimamo wa timu.Mkuu ligi ndo inaanza...
Hahaha, kwa Arsenal ndo msimu umeisha, Chelsea anamkalia wiki ijayo. Hapo ndo atabaki anaitafuta Yuropa.Tuliisubiria kwa hamu subiri game tano za mwanzo uone msimamo wa timu.