Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hata ligi haijaisha ushajitapa upo ndan ya top 4Pole sana kaka yangu wenzako tuko ndan ya top 4 na tumezuiwa kusajili
Subir jumatatu narud nafas yangu
Hata ligi haijaisha ushajitapa upo ndan ya top 4Pole sana kaka yangu wenzako tuko ndan ya top 4 na tumezuiwa kusajili
HayaJumatatu unakula kichapo bro
Hata ligi haijaisha ushajitapa upo ndan ya top 4
Subir jumatatu narud nafas yangu
Niliwaambia ndan ya michezo 10 hamuwez kuwepo ndan ya top 4 ,Ivi wewe uliwapa chelsea michezo mingapi?
Nahisi nane au tisa ohoo 10. Zimebaki ngapi ili tuwe namba 15
Nakumbushia tu mkuu
Mashabiki wa man u bwana.Liverpool (champion)
Man city
Man utd
Spurs



Hahahaha mkuu ungekuwa una bet nahakika ungemfilisi muhindiManchester United itakuja kasi sana, na itakusanya points 25 katika mechi zake 10 za mwanzo
Hebu nitajie top 4 mkuu
Inakuja kasi mno.Manchester United itakuja kasi sana, na itakusanya points 25 katika mechi zake 10 za mwanzo

Mtoe spurs muweke ArsenalNimesoma post zote, Liverpool imwekwa top 4 kasoro ng'ombe mmoja tu ndo ameitoa. Kwa hesabu za probability Liverpool ndo bingwa. Therefore :
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
We jamaa umeingia chakaTop 4
1.Liva
2.Man city
3.Man u
4.spurs