Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Hahahah acha haya mambo dogo
Mzee mi livapMan u na arsenal endeleen tu kukalia nafasi za watu wenye nazo wakija mpishe
Umenipigaje mzeeJana nimekupiga tatu bila
Wewe ndo yule uliyetuaminisha Chelsea anachukua Super cup....Aman iwe nanyi wakuu
Kulingana na usajili ulivyo msimu huu natabili hii ndo top four yangu msimu huu
Man city
Chelsea
Liverpool
Everton
LONDON BOY
leo upo hapa unatuambia anashika nafasi ya 2. Labda ya 2 kutoka mwishoniKwahiyo mtabeba na hili au sio?Chelsea huwa hawatupi nafasi lakini kawaida yetu haipiti miaka mitatu bila kubeba epl,na wanajifanya hawajui hili
amka mzee utakojoles kitanda..
HahahahahahhaWewe ndo yule uliyetuaminisha Chelsea anachukua Super cup....![]()
leo upo hapa unatuambia anashika nafasi ya 2. Labda ya 2 kutoka mwishoni