Tupia picha za mida ya wanga

Tupia picha za mida ya wanga

Wewe uko Dar es Salaam au? Maana mimi nina download series na movies kibao, nitafute! Siuzi.
nitakuapataje nije
Wewe uko Dar es Salaam au? Maana mimi nina download series na movies kibao, nitafute! Siuzi.
haya mambo ya kuja kuonana uso kwa uso tena mkuu wengine twaogopa kamatwa..sometimes twasema vibaya JF atiii!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Y29udGVudC9jb250ZW50L3VubmFtZWQtKDEpLmpwZ3JldGZyZS5qcGd8NjYw.jpg

Mshana Jr akijiandaa kufanya yake...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
nitakuapataje nije

haya mambo ya kuja kuonana uso kwa uso tena mkuu wengine twaogopa kamatwa..sometimes twasema vibaya JF atiii!
Nianazo nyingi sana roho inauma kuzifuta, ndiyo maana ni heri ziwe kama zawadi, Sasa itakuwa kazi kweli kweli!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
uko hostel au wapi...maana wanavyuo si mchezo nipe ramani
Mimi ni mfanya biashara! Lakini na wewe mtu akitaka umpatie hizo hard disk drive bure, inaitwa PAY IT FORWARD, ni Baraka kwa Mola... njoo PM!
 
Nianazo nyingi sana roho inauma kuzifuta, ndiyo maana ni heri ziwe kama zawadi, Sasa itakuwa kazi kweli kweli!
Nahitaji,nipo Dar.
Nakichek pm naona inakataa
 
Back
Top Bottom