Tupia picha za mida ya wanga

Tupia picha za mida ya wanga

Si rahisi....Mimi pia naangalia sana hayo ma movie ya kutisha hahahaha
Suspense na thrillers kwangu zinatisha zaidi ya hizi horror za kawaida, suspense unakuwa hujui nini kinaenda kukutisha ikisindikizwa na soundtrack ya kutisha!
Mfano; GOTHICA ya Harry Bally.
 
uk
Suspense na thrillers kwangu zinatisha zaidi ya hizi horror za kawaida, suspense unakuwa hujui nini kinaenda kukutisha ikisindikizwa na soundtrack ya kutisha!
Mfano; GOTHICA ya Harry Bally.
uko juu mkuu..ni movi au? nitaitafuta
 
DSC_0425.jpg
 
Wewe uko Dar es Salaam au? Maana mimi nina download series na movies kibao, nitafute! Siuzi.
Mkuu unaweza nitumia kwa email?Niko ukonga.Kama uko OK nije pm Nikutumie email.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom