Misamiati mipya ya CCM

Misamiati mipya ya CCM

tanganyikakwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
493
Reaction score
187
Hii ni misamiati mipya ya CCM ili kukwepa mkono wa sheria.

Kughushi vyeti - Kuchezea saini by Samuel Sitta.

Wezi wa pesa za umma - wajanja wachache by UVCCM Mbeya.

Kura ya waz i- kukandamiza uhuru wa watu kidemokrasia by wajumbe wa CCM katika bunge la katiba.
 
Uchochezi....Maneno ya kweli yanayo juu ya chochote kinachogusa maslahi ya ccm dhidi ya haki za raia
 
Tutaiwajibisha serikali - Ili nao waonekane wanaguswa na matatizo ya wananchi
 
Sera ya ajira kwa vijana = kuokota chupa za maji za plastiki zilizo tupwa majalalani
 
Nakumbuka enzi za takrima=rushwa kuelekea uchaguzi
 
Back
Top Bottom