mungasulwa
Member
- Feb 17, 2012
- 48
- 14
Kwa wakata kiu, tupieni majina ya bar za zamani; Mie nakumbuka Mpilipili,Deluxe -Magomeni, Bingwa bar, Congo bar-Kkoo,Kingstar,White Inn,Bobs Motel, Queen of Sheba,Gaza one,Mori bar-Sinza...endelea.
mkimaliza anzeni kutaja na makanisa ya zamani