Tupia humu za Christmass...

enyi watu wote furahini sana
kwani leo ukombozi wetu umetimia
leo kazaliwa yesu mkombozi
furahini sana furahini
fura hini watu wote
furahini watu wote furahini sana
leo kazaliwa mkombozii
 
Nyie mna habari kuwa sherehe ya chrismas ilianzishwa na WAPAGANI.
Na father Christmas alibuniwa na CoCa CoLa.

Nadhani mtashangaa sana! Lkn hio ni kweli tupu
 
Nyie mna habari kuwa sherehe ya chrismas ilianzishwa na WAPAGANI.
Na father Christmas alibuniwa na CoCa CoLa.

Nadhani mtashangaa sana! Lkn hio ni kweli tupu
Haina tatizo mkuu...

 
Salute Mkuu

Picha nzuri sana zinajieleza zenyewe
.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…