Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,000
tutaendelea kudai mpaka ukomo wa nchi ufikie na tena 2015 tunachukua nchi hii yani tunatawala maana nyie mzoeaa kutuendesha kama baiskeli
hayo mlifanya wakati wa mababu na mabibi zetu kwa nyakati hizi hamtatuweza kwani tumetoka BEIJING haki sawa kwa wote hamuwezi mkatuendesha mnavyotaka sisi tutawaendesha nyie kama tunavyotaka ssisi na sio nyie wakandamizaji wa haki
haa wewe una wazimu mm nazungumzia mume wake mpakanjia ajatumia hilo wewe
ladyfurahia una stress?kisa hawa wanaume?let me tell u hamna utakavyojikomboa ili mwanaume awe down and u on top au hamna utakachofanya ili iwepo fair play dunian ili dunia iwe na challenge things should be going as they are right now
But don't forget the one who irritate u the most is the one who loves the most so down in earth hia no matter how men screw women life they loves us and needs us badly...baaaaaaas
I just mocked me u ladyfurahia, najua mumewe amina alikuwa akiitwa mohamed mpakanjakia a.k.a kitendawili ila hoja iko kwa wanaume hivyo kutolea mfano wa mzee chifupa hujatibu tatizo kwani yeye naye ni mwanaume. hoja yangu niliijenga kwa kutumia ubini wa wanawake yaani kama wewe unaitwa sarah na mama yako anaitwa Jenifer wakati baba yako anaitwa Sanya na mumeo anaitwa damian basi wewe uitwe sarah jenifer.
I love being a woman!
wewenaona sasa unamatatizo ya akilli acha nikuache uendelee hivyohivyo kwani kuumbwa wa kwanza alikuwa nani ME / KE? utajijibu mwenyewe hapo usiku mwema
ukitumia hizo nyodo mmeo atakupiga mpaka uje humu tukushauri. Kila sehemu kuna utaratibu huwezi kutoka asubuhi ukarudi saa 6 usiku eti ulikuwa kwa shangazi. Kudai haki yako waweza kuidai hata kwanjia ya kiungwana tu,yapo mambo ambayo sisi wanaume tunakosea na yapo mambo ambayo nyinyi wanawake mnakosea,ila uhuru usio na sheria mimi kwangu hamna,labda useme uko jukwaani,bungeni na kwenye vikao vyenu ukirudi nyumbani fata utaratibu,serikali haita kuoa wala haikunisaidia kulipa mahari
Eti wababa mmesikia?
wake zenu wanataka uhuru!!!!!!!!!!