UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Kwa hiyo kosa lililofanywa wakati wa Mwendazake ni lazima lirudiwe wakati wa marais wanaokuja baada yake?Kinacho leta maswali mazito kwaninj bunge unalolisema halikusimamia wakati wa mwendazake na ndio mambo makubwa yalipitishwa na pesa ya serikali ikawa Kama inatoka mfukoni kwa mtu mmoja??mbona Ndugai alilifanya bunge likawa Taasisi ya kupigia makofi kila lkilichoamliwa na mwendazake?? Leo hii analeta dharau na kufokafoka au kwasababu Rais ni Mwanamke??
Hali ikiwa hivyo sisi kama taifa tuta-evolve namna gani na kukua kutoka stage moja kwenda nyingine?