Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

wakikuuliza kesi waambie kesi kubwa kama kuua,ujambazi sio unaingia unasema umesingiziwa oooh mara tulipigana ,ooooh mara niliiba kuku

wataona wewe sio bandidu mwenzao
 
Dah!,Aisee umenikumbusha mbali nilipokuwa jela kwa kosa la kumpiga mtu na Kumjeruhi Vibaya Jamaa aliyekuwa anatembea na mke Wangu,nakumbuka nilipoingia siku ya kwanza nilikuwa mkimya sana siongei Mara ghafla mjusi alinidondkea kwenye mgongo wangu nilipomshika nikamtafuna mzimazima na kummeza kabisa,Tangu siku hiyo watu waliniogopa mpaka natoka hakuna aliyenidharau!,Jela kuwa mkimya lakini usiwe muoga!
Chai hii
 
Ahaaaa inabidi uwe na story za kibabee sana mkikaa na wana jela....story zako ziwe za kunyonga watu swala la kumchinja mtu kama kuku kwako kawaida lazima wakuogope mkuu...uzi wako una ntishaa umekinukisha nini sehemu ??
 
Poleee mkuu kws matatizo utani kidogo asumeee mjusi amekurukia mgongoni ukapiga keleleee Mamaaaaa Mamaaaaa....askar mjusiiiii huku
 
Ni rahisi sana mkuu mwaka 2014 nilimtandika fundi simu mmoja hivi,si unajua mafundi wengi huwa ni matapeli..akaniwahi polisi, usiku nimelala geti linagongwa kufungua tu kumbe ni polisi, nikapelekwa polisi kesho yake mahakamani mpaka jela/mahabusu. .nilivyofika ndani humo nikakutana na wababe wakaniuliza dogo umekuja kwa kesi gani humu nikawaambia nimeua watu kwa panga, jamaa wote mbali na mimi
 
Ahaaaa inabidi uwe na story za kibabee sana mkikaa na wana jela....story zako ziwe za kunyonga watu swala la kumchinja mtu kama kuku kwako kawaida lazima wakuogope mkuu...uzi wako una ntishaa umekinukisha nini sehemu ??
Unakuta mtu mlaini kama Hemedi au Ray Kigosi uwaambie watu una kesi ya ujambazi au kuua watakuelewa kweli?
 
Wanaokwenda jela siyo wote wenye hatia ,unaeza kuwa innocent ila ukabambikiwa kesi
Kwa walio na uzoefu mtujuze jinsi ya kuishi kwa amani bila kero na naskia kuna watemi ukizubaa unarudi bila marinda,je ya kweli haya?
Wewe utakua unasubiri hukumu upo nje kwa dhamana nini mkuu?.Jela ukiwa na ndugu wanakuletea vyakula na vifaa,kama sabuni,nyembe,miswaki na dawa kila wiki utaishi kwa raha tu.
 
Nasikia kule bila nyama ya kiboga msosi utausikia tu kwa wenzako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom