Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

Jipake upupu shimo kuu,usipende vya bure,jivuruge kiakili kama kula nyama ya binadamu mwenzako na mwisho mwombe mzigo nyapala.

Ikishindikana haya jua una msambwanda kama Kajala na sauti kama Sepetu.
Umetisha sana mkuu
 
Wanaokwenda jela siyo wote wenye hatia ,unaeza kuwa innocent ila ukabambikiwa kesi
Kwa walio na uzoefu mtujuze jinsi ya kuishi kwa amani bila kero na naskia kuna watemi ukizubaa unarudi bila marinda,je ya kweli haya?
Kabla ya kujua kuishi jela umeshajifunza namna ya kuingia jela? Uko chama gani kwanza?
 
Dah!,Aisee umenikumbusha mbali nilipokuwa jela kwa kosa la kumpiga mtu na Kumjeruhi Vibaya Jamaa aliyekuwa anatembea na mke Wangu,nakumbuka nilipoingia siku ya kwanza nilikuwa mkimya sana siongei Mara ghafla mjusi alinidondkea kwenye mgongo wangu nilipomshika nikamtafuna mzimazima na kummeza kabisa,Tangu siku hiyo watu waliniogopa mpaka natoka hakuna aliyenidharau!,Jela kuwa mkimya lakini usiwe muoga!
 
Duh wewe jamaa ulitisha sana hahaah
 
Jitangaze kwamba ww ni wakili ila imetokea tu ukaingia nyavuni.

Au sema ww ni kiongozi wa dini na ujiunge na kikundi cha kidini. Pia jitolee mara kadhaa kuongoza dua/sala.

Au jitangaze kwamba ww ni kamanda wa CDM

Au singizia kwamba kosa lako ni kuua (bila kukusudia)

Uzoefu wangu ni huo
 
Picha linaanzia police kawaida ww omba ukamatwe kipindi cha sikukuu au kuanzia ijumaa,jmos/jpili raia shazi.., maswaibu utakayoyapata jela mara 5 yake..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom