Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 335
- Thread starter
- #61
kweli eenh?Kama una vyote na huna bwana wa maana
Kaoge na maji ya bahari utoe gundu tu alafu uje kuleta mrejesho…
kweli eenh?Kama una vyote na huna bwana wa maana
Kaoge na maji ya bahari utoe gundu tu alafu uje kuleta mrejesho…
SiweziNjoo tutegeneze Connection yetu.
HapanaUnaweza ukamuiga mama J alichofanya soon upo on top of the league
ConectionFanya hivyo.
Siyo rahisiKama wanaogopa kukutongoza watongoze wewe kwasababu umeamua kupata pesa kupitia wanaume
NimepitaKama Una umri chini ya miaka 25 nikufanyie connection ya WCB,au nikusogeze Kwa Baba levo..upo Tyr?
Wacha nije inboxSanaa ya Maigizo pia wana series zinashutiwa kwa sasa.
🤣🤣🤣 Acha uwoga kiongoziMkuu hunitakii mema japo najua ndiyo njia iliyowatoa kina polepole
Niko tangaMkuu emu njoo hapa mlimani city tuyajenge niwaite na Millard ayo tv chap.
Kwani mke hataki matunzo?Hakuna mke hapa
Asee, pagumu kidogoUna mipaka yako na unaheshima mbele za watu..na bado unautaka usuperstar wa bongo..hapo ndio unapokwama...kuwa super star bongo ni lazima uachane na hivyo vitu yaani usiwe na mshipa wa aibu....achana na mambo ya mipaka na aibu mbele za watu...si unacheki role model wako Uwoya...hana mshipa wa aibu yule..au angalia ka Mabeto hakana sijui mipaka wala nini!
Wewe unakipaji gani au kitu gani unapenda? pia una muonekano gani wa shape,kimo,rangi?Siwezi
Nimeeleza tayar mkuuWewe unakipaji gani au kitu gani unapenda? pia una muonekano gani wa shape,kimo,rangi?
Sasa tanga tutakusaidiaje mkuu endelea kukaa hapo tangamano.Niko tanga
Siyo vizuri hivyo mi naweza tu kuja dar mbonaSasa tanga tutakusaidiaje mkuu endelea kukaa hapo tangamano.
Sijui Anakwama WapiMkuu toa clip yako ya connection nakuhakikishia siku moja tu utajulikana Tanzania nzima.
Kuwa star kazi mpendwa, hata Mimi nilipenda kuwa star Ila uachekazi ufanye kazi, mpaka nilikuwa na marafk star, ningekuwa, Ila majukumu na umbali wa bongo, Ila nilichopenda sio sababu ya kuwa na mabwana, kujulikana tu Kama kina roza Lee, na kumake bingo.Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap
Uzi tayari!
Take five ccyTafuta pesa binti, ujikwamue kiuchumi.. utasahau huo ujinga unaowaza... narudia Tena tafuta pesa.