Kwa wale wanaofanya publications za tafiti mbalimbali watanielewa nikisema "journals."
Nimeamua kuja ili tusaidiane tuepuke gharama na usumbufu unaoweza kuepukika kutokana na journals ambazo;
1. Wanataka malipo kwa kusaini fomu kibao.
2. Ukishalipa hawataki tena mazoea wala kukujibu kwa wakati kujua hatua ya paper yako.
3. Wakishaweka mtandao "paper" yako hata kama ina makosa hawapo tayari kurekebisha wala kujibu email.
4. Ukishalipa tu wanakata mawasiliano na wewe kwa updates zozote.
Mojawapo ya journals hizo ni hii hapa;
American Journal of Development Studies
ONGEZA NYINGINE NA WEWE ILI TUSIINGIE MKENGE