Tupeane possible za written Interview TRA

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,374
Reaction score
3,972
Mods please msifute huu uzi,this is not a leak ni mawazo tu yakujadiliana hapa na wadau.

Fahamu TRA imeanzishwa lini na kwa sheria ipi na imeanza kazi lini.
Soma kuhusu Corporate Plan yao ya 4 ya 2013/14-2017/18,hapa utakutana na mambo kama Mission,Vision,Themes and Perspectives.Pitia kwa juu juu plans zilizopita nyuma ujue malengo yake,mafanikio na changamoto zao.Uelezee pia kwamba hii plan imekwenda sambamba na maono ya maendeleo ya kitaifa na kimataifa kama MDGs,Vision 2025,NSGRP II,MKUZA II,KILIMO KWANZA,BRN and FYDP 2011-2016

Organisation Structure yao lazima uijue,Boards na Standing Committees,Directors and their deputies,commissioner general and deputy.Departments zote kama Domestic Revenue,Large Taxpayers and its sub departments.Hii itakusaidia kujua haswa TRA wamejipangaje.Mfano Customs and Excise Department kuna Deputy Commissioners wanaosimamia Trade facilitation and procedures,Risk management and modernisation,Compliance and Enforcement pamoja na TRA Zanzibar.

Wafahame wadau wao kama mlipa kodi mwenyewe,taasisi za kifedha ,wizara, idara, wakala mbalimbali wa serikali n,k

Ijue pia taxpayers Charter,mwongozo unaoonyesha wajibu na haki katika huduma mbalimbali anazopata mteja toka kwa TRA.

Fahamu services which are provided kama tax assessment,collection and accounting,training n.k

Kikubwa zaidi ujue kuhusu all types of taxes wanazodeal nazo,kuanzia income tax ,skills and development levy,corporate tax ,PAYE,withholding tax mpaka stamp duty,pia fahamu Acts tofauti tofauti kwa juu juu kama East Africa Community Customs Management Act 2004.

Pia usisahau kujikita zaidi katika ile post yako uliyoomba na usome pia duties and responsibilities.Kwa mfano kama umeomba customs officer basi ujitahidi hata uwe na idea kuhusu import and export procedures n,k

Chanzo www.tra.go.tz
 
Mkuu tulioomba SYSTEM ADMINISTRATOR au BUSINESS ANALYSIS ......hiyo vipi?
 
Wewe si umeomba TRA? Lazima uijue TRA hata kama umeomba uanasheria.
Ukimaliza kupitia hayo then specialize kwenye hizo system administrator , business analyst N.k. soma duties and responsibilities zake

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Mods please msifute huu uzi,this is not a leak ni mawazo tu yakujadiliana hapa na wadau.

Fahamu TRA imeanzishwa lini na kwa sheria ipi na imeanza kazi lini.
Soma kuhusu Corporate Plan yao ya 4 ya 2013/14-2017/18,hapa utakutana na mambo kama Mission,Vision,Themes and Perspectives.Pitia kwa juu juu plans zilizopita nyuma ujue malengo yake,mafanikio na changamoto zao.Uelezee pia kwamba hii plan imekwenda sambamba na maono ya maendeleo ya kitaifa na kimataifa kama MDGs,Vision 2025,NSGRP II,MKUZA II,KILIMO KWANZA,BRN and FYDP 2011-2016

Organisation Structure yao lazima uijue,Boards na Standing Committees,Directors and their deputies,commissioner general and deputy.Departments zote kama Domestic Revenue,Large Taxpayers and its sub departments.Hii itakusaidia kujua haswa TRA wamejipangaje.Mfano Customs and Excise Department kuna Deputy Commissioners wanaosimamia Trade facilitation and procedures,Risk management and modernisation,Compliance and Enforcement pamoja na TRA Zanzibar.

Wafahame wadau wao kama mlipa kodi mwenyewe,taasisi za kifedha ,wizara, idara, wakala mbalimbali wa serikali n,k

Ijue pia taxpayers Charter,mwongozo unaoonyesha wajibu na haki katika huduma mbalimbali anazopata mteja toka kwa TRA.

Fahamu services which are provided kama tax assessment,collection and accounting,training n.k

Kikubwa zaidi ujue kuhusu all types of taxes wanazodeal nazo,kuanzia income tax ,skills and development levy,corporate tax ,PAYE,withholding tax mpaka stamp duty,pia fahamu Acts tofauti tofauti kwa juu juu kama East Africa Community Customs Management Act 2004.

Pia usisahau kujikita zaidi katika ile post yako uliyoomba na usome pia duties and responsibilities.Kwa mfano kama umeomba customs officer basi ujitahidi hata uwe na idea kuhusu import and export procedures n,k

Chanzo www.tra.go.tz
Siku hizi Kazi za serikalini za kada zenye bodi ya taaluma.. interview paper zake hutungwa na bodi husika
Mitihan inayotungwa na nbaa haina longolongo nyingi ni shule kuanzia written hadi oral labda ujue tu kazi za taasisi tena ukifika oral.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NBAA ndio wanatunga pepa la TRA?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
usishangae unaingia kwa pepa unakuta grammer, BODMAS na probability. [HASHTAG]#justSayn[/HASHTAG]
 
I wish paper Iwe kigeneral Lakini odds are kukutana na mambo ya darasani sana as nimesikia sehemu kuwa MZUMBE ndo watasimamia mchongo mzima.....
 
Angalia vizuri address uliyoandika ambao hawakuweka wapo Dar
 
Mkuu tulioomba SYSTEM ADMINISTRATOR au BUSINESS ANALYSIS ......hiyo vipi?
soma notes za system analysis and design, software engineering, infomation system project managment, na database managment usome kwenye relational database na query uzijue, kama sasa chuoni mwalimu hakuwa nondo hapa utapotea. SDLC ujue phase zake zote na kwa kila phase nn kinafanyika, mm pia naenda kufanya business analyst. NOTE haya maelekezo ni kwa business analyst kwa system administrator soma LINUX, jua commands zote za LINUX, jua window server 2003 na 2008, hop ukijazia na vingine kutoka kwa wataalam wengine tutatoboa Mungu atuonekanie
 
Asante sana kwa mchango wako ......
 
Huu ni Ushauri mzuri katika huu uzi, Ila naomba niongeze kitu kwenu, unaposoma hizo Notes jitahidi kuelewa usikariri ikibidi. Maana sometimes Utumish wanatoaga Multiple choice alafu majibu yake ni 5 yaan A-E, Afu unakuta hayo yote yanafanania na jibu sasa kama umekariri ni rahisi sana kuchanganya madesa

NOTE: Kama wewe ni muajiriwa wa makampuni ambayo yanaproject nyingi za Software na umefanya System Administration for atleast 2 years na possibility ya kutoboa ni kubwa sana kama ikiwa multiple choice, maana vitu vingi havitakuchanganya

ila kama ndo fresh from School na pepa ni Kuelezea yaan unaandika basi probability ya kutoboa written ukiwa umemeza ni kubwa. ila zingatia unapotoa maelezo toa maelezo kama mtu aliyeelewa kitu anachokieleza sio kama aliyekariri; nawaambia haya from experience. Lakini Pia ukisoma kwa kuelewa itakusaidia Interview inayofuata (Practical).
Kuna opportunity kubwa sana kwa IT Proffesionals kupita Interview za Utumish believe my word, Mimi huwa naweka makundi 2 IT Proffesionals and IT Academicians jitahidi uwe IT Proffesional hawa ndio wenye uelewa wa Mambo. Nimefuatilia Interview kadha wa kadha TFDA,TBS,TPA ukifanya Analysis Unakuta wale 20 Bora waliopasua written kwenye Practical wanafeli kwa alama za aibu kabisa. Kumbuka practical ni uwezo wa Kuweka kwenye vitendo Kile kinachotakiwa. So anza sasa kusoma kwa kuelewa ujiandae mapema usije ukamalizia mbio zako kwenye written tuu.

Niwatakie maandalizi mema na MUNGU Muumba Mbingu na Nchi awatangulie. Efeso 3:20 "Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu"
 
Back
Top Bottom