GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,651
- 109,041
Moja ni kwa namba wanazotumia wezi huwa wanajisahau na kutumia line zao halali kwenye ile Simu anayotumia kutapelia (same IMEI number ) sasa hapo kazi inakua rahisi kupata namba yake halali, mnapigia tu Simu umeshinda bajaj mpya kutoka Vodacom fika mliman city kuichukua, akija wa kwenu
Upeo waki ndo ulipo ishia hapo au na unajibu ushawahi fanya wizi mtandaoni ..na nani alikudanganya usipotumia laini yako halali ukamatwiMoja ni kwa namba wanazotumia wezi huwa wanajisahau na kutumia line zao halali kwenye ile Simu anayotumia kutapelia (same IMEI number ) sasa hapo kazi inakua rahisi kupata namba yake halali, mnapigia tu Simu umeshinda bajaj mpya kutoka Vodacom fika mliman city kuichukua, akija wa kwenu
Fanya kosa la mtandao uone utajua mbinu gani watumia na jinsi ya kujizuia ni kutokufqnya makosa mtandaoni.
Watanzania wengi hawana habari na teknolojia.
Na wavivu kujifunza,Teknolojia imekua na inakua sana
Kukupata siku hizi simple tu.
Na bila kusahau.....
"
Mkataba huo utajumuisha vipengele vikuu ambavyo ni kushare intelijensia katika mambo mbali mbali ya kiusalama kubwa likiwa ni kupambana na ugaidi, Mafunzo ya Kijeshi kwa vikosi vya kijeshi, Cyber Security, na Teknolojia ya Kijeshi.
"
+ it wa rwanda + vijana wanaokwenda kusomeshwa nje
Vipi nikipost barua kutumia vile visanduku vya mitaani? Vimeandikwa letter posting/barua nitakamatwa?Mkuu ukitaka usikamatwe usitumie simu wala kifaa chochote cha kieletroniki, sambaza ujumbe wako kwa vipeperushi vya karatasi au barua na ukitumia barua usiende posta manake kuna cctv watakukamata tu.
Mkuu siwezi kukupa assurance kwamba utakamatwa ama la, ukiwa muhalifu wewe jua kwamba ipo siku utakamatwaVipi nikipost barua kutumia vile visanduku vya mitaani? Vimeandikwa letter posting/barua nitakamatwa?
Tumia Simu mpya kwenye kila laini, tena kitochi, usifanye biashara ya online, kwani polisi watakudanganyia upeleke mzigo, tumia emails zisizotaja jina lako, usiende internet cafe zenye webcam kama huna hakika vaa kofia inayoficha Uso, ishi maisha ya kawaida, kuwa na kibiashara cha danganya Toto, usichanganye emails, social networks IDs fake na halal kwenye kifaa kimoja, tumia line za watu kuwapoteza maporisi, usiibe Mara mbili kwa mtu mmoja, sikuzote tumia incognito browsing plus VPN, na nyingine nyingii