Tupeane mbinu ni jinsi gani Watu wa Mitandaoni wanakamatwa kirahisi kama Kuku na Mamlaka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,535
Siku hizi kila mara au kila Siku utasikia na kuona Watu mbalimbali ambao wanafanya makosa mbalimbali ya Kimtandao wanakamatwa na Mamlaka husika kiurahisi sana kisha wanashtakiwa na kwenda kuanza maisha mapya Gerezani.

Naomba kujua ni mbinu gani hutumika hadi wanakamatwa kiuwepesi? Pia ni mbinu gani Watu wanaweza kuitumia ili wasikamatwe na hao Watu wa Mamlaka?

Nilikutana majuzi na Mzee mmoja hivi katika Taasisi moja ya ' Kimedani ' ambaye muda si mrefu anakaribia Kustaafu na katika hiyo Taasisi yupo katika Kitengo ' Nyeti ' sana na akaniambia kwamba kwa Teknolojia yao ya Siku hizi hata ukitukana au ukifanya jambo lolote lile baya kupitia Simu yako ya Mkononi hata uende kujificha wapi ndani ya Tanzania na hata nje ya Tanzania utakamatwa ' Kirahisi ' kama ' Kuku ' Kibandani.

Haya karibuni tupeane maarifa hasa jinsi gani wanaweza kukukamata Kirahisi na pia ni jinsi gani unaweza ukawakwepa na wasikukamate ' kiurahisi ' kama ' Kuku ' aliye malishoni.

Nawasilisha.
 
Moja ni kwa namba wanazotumia wezi huwa wanajisahau na kutumia line zao halali kwenye ile Simu anayotumia kutapelia (same IMEI number ) sasa hapo kazi inakua rahisi kupata namba yake halali, mnapigia tu Simu umeshinda bajaj mpya kutoka Vodacom fika mliman city kuichukua, akija wa kwenu
 
Fanya kosa la mtandao uone utajua mbinu gani watumia na jinsi ya kujizuia ni kutokufqnya makosa mtandaoni.
 
Mkuu ukitaka usikamatwe usitumie simu wala kifaa chochote cha kieletroniki, sambaza ujumbe wako kwa vipeperushi vya karatasi au barua na ukitumia barua usiende posta manake kuna cctv watakukamata tu.
 
Naanza sasa kupata picha kwanini wengi wanakamatwa. Kumbe Mkuu kuna uwezekano mkubwa kwamba hata hawa tunaowasikia wameshinda Zawadi huko Mitandaoni ni ' mitego ' ya kuwakamata na kwamba wakienda tu huko ' hesabu ' inakuwa imeshakamilika?
 
Moja ni kwa namba wanazotumia wezi huwa wanajisahau na kutumia line zao halali kwenye ile Simu anayotumia kutapelia (same IMEI number ) sasa hapo kazi inakua rahisi kupata namba yake halali, mnapigia tu Simu umeshinda bajaj mpya kutoka Vodacom fika mliman city kuichukua, akija wa kwenu
Upeo waki ndo ulipo ishia hapo au na unajibu ushawahi fanya wizi mtandaoni ..na nani alikudanganya usipotumia laini yako halali ukamatwi
 
Fanya kosa la mtandao uone utajua mbinu gani watumia na jinsi ya kujizuia ni kutokufqnya makosa mtandaoni.

Ni ' Mpuuzi ' tu pekee ambaye alienda Shule na hata Chuo Kikuu kupoteza muda wake tu na siyo Kuelimika ndiyo anaweza akaja na majibu ya ' hovyo hovyo ' kama yako haya.
 
Watanzania wengi hawana habari na teknolojia.
Na wavivu kujifunza,Teknolojia imekua na inakua sana
Kukupata siku hizi simple tu.
Na bila kusahau.....

Tanzania na Israel zasaini mkataba(MoU) wa ushirikiano wa Kijeshi na Kiintelijensia

"

Mkataba huo utajumuisha vipengele vikuu ambavyo ni kushare intelijensia katika mambo mbali mbali ya kiusalama kubwa likiwa ni kupambana na ugaidi, Mafunzo ya Kijeshi kwa vikosi vya kijeshi, Cyber Security, na Teknolojia ya Kijeshi.
"
+ it wa rwanda + vijana wanaokwenda kusomeshwa nje
 
Watanzania wengi hawana habari na teknolojia.
Na wavivu kujifunza,Teknolojia imekua na inakua sana
Kukupata siku hizi simple tu.
Na bila kusahau.....

"

Mkataba huo utajumuisha vipengele vikuu ambavyo ni kushare intelijensia katika mambo mbali mbali ya kiusalama kubwa likiwa ni kupambana na ugaidi, Mafunzo ya Kijeshi kwa vikosi vya kijeshi, Cyber Security, na Teknolojia ya Kijeshi.
"
+ it wa rwanda + vijana wanaokwenda kusomeshwa nje

Nilitaka mbinu wanayotumia kuwakamata Wahusika na nini pia Wahusika wanaweza kufanya ili wasikamatwe na sikuhitaji hizi ' blah blah ' zako ambazo zinajulikana hata na Mtoto wa Darasa la Saba ambaye ni mfuatiliaji wa mambo mbalimbali.
 
Mkuu ukitaka usikamatwe usitumie simu wala kifaa chochote cha kieletroniki, sambaza ujumbe wako kwa vipeperushi vya karatasi au barua na ukitumia barua usiende posta manake kuna cctv watakukamata tu.
Vipi nikipost barua kutumia vile visanduku vya mitaani? Vimeandikwa letter posting/barua nitakamatwa?
 
Tumia Simu mpya kwenye kila laini, tena kitochi, usifanye biashara ya online, kwani polisi watakudanganyia upeleke mzigo, tumia emails zisizotaja jina lako, usiende internet cafe zenye webcam kama huna hakika vaa kofia inayoficha Uso, ishi maisha ya kawaida, kuwa na kibiashara cha danganya Toto, usichanganye emails, social networks IDs fake na halal kwenye kifaa kimoja, tumia line za watu kuwapoteza maporisi, usiibe Mara mbili kwa mtu mmoja, sikuzote tumia incognito browsing plus VPN, na nyingine nyingii
 
Shikamoo Mkuu. Uko ' nondo ' sana katika haya mambo.
 
Mkiwasiliana na majambaz wenzio peaneni password za email ili badala ya kutumiana mnakua mnazisave kwenye drafts, yani muwasiliane kupitia drafts... Hapo ni ngumu kuprove mahakamani mlikua mnawasiliana....na ni vyema kutumia advantage ya secured sites kama eBay kuwasiliana hapa mnapost bidhaa kumbe ni code mliopeana.
 
Polisi/TISS/Jeshi/TCRA na mamlaka zinatumia Simu yako...binafsi nikifanyaga tukio huwa nabadili laini na simu, na kufutilia mbali ile network niliyokuwa nawasiliana nayo kwenye simu...maana wakiikosa namba yako wata track simu, wakikuta simu inatumiwa na mtu mwingine au ishatupwa wanaanza ku-social engeneer watu uliokuwa unawasiliana nao...kwahiyo hata mzazi wako atapangwa atoe ushirikiano maana wewe ni muharifu, akikataa anabeba msalaba, ndo maana utakuwa wengi wameuzwa na ndugu au jamaa wa karibu, sio kwasababu walipenda, ni mamlaka ziliwa social engineer "haloo, uko wapi? hapa ni central, mtu falni unamfahamu? basi ni jambazi la kutupwa...twambie alipo au tunakuja kukumata wewe!".....

basi ndugu yako nae anakupanga "ankoo...uko wapi? kuna mchongo hapa...njoo mara moja"...ukifika ni pingu hadi central ahahahaha

Pia usipende ku turn on location ya Google kwenye smartphone yako, au Apps hasa za Facebook na Messenger....deny location permission zote.
 
Mwisho nadhani jambaz mzuri ni yule anae assess faida na hasara, kama utaiba M500 lakini ukaacha ushahidi wa wew kufungwa muda mfup wewe ni jambaz mzuri
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom