GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,455
- 108,567
Siku hizi kila mara au kila Siku utasikia na kuona Watu mbalimbali ambao wanafanya makosa mbalimbali ya Kimtandao wanakamatwa na Mamlaka husika kiurahisi sana kisha wanashtakiwa na kwenda kuanza maisha mapya Gerezani.
Naomba kujua ni mbinu gani hutumika hadi wanakamatwa kiuwepesi? Pia ni mbinu gani Watu wanaweza kuitumia ili wasikamatwe na hao Watu wa Mamlaka?
Nilikutana majuzi na Mzee mmoja hivi katika Taasisi moja ya ' Kimedani ' ambaye muda si mrefu anakaribia Kustaafu na katika hiyo Taasisi yupo katika Kitengo ' Nyeti ' sana na akaniambia kwamba kwa Teknolojia yao ya Siku hizi hata ukitukana au ukifanya jambo lolote lile baya kupitia Simu yako ya Mkononi hata uende kujificha wapi ndani ya Tanzania na hata nje ya Tanzania utakamatwa ' Kirahisi ' kama ' Kuku ' Kibandani.
Haya karibuni tupeane maarifa hasa jinsi gani wanaweza kukukamata Kirahisi na pia ni jinsi gani unaweza ukawakwepa na wasikukamate ' kiurahisi ' kama ' Kuku ' aliye malishoni.
Nawasilisha.