Vevofhd za nnyfch
Member
- May 23, 2022
- 5
- 3
Natumai muwazima wa afya .Kuna wakati/ama umri ambao kuna jambo unaona ungelifanyaga lingekusaidia zaidi mbelini ama kukuweka fiti kiuchumi .Ulifikiria jambo gana? ukiwa na umri kati ya miaka (19~22)?????
Hapo umenena vemaKama kuna namna unaweza shika hela flani zuia hata ekali moja ya shamba, haijalishi ni wapi just fanya hivyo. Usije kushukuru mtu yeyote, jishukuru mwenyewe after that.