Tupeane mawazo wapendwa

Ni dhambi kubwa sana mwanamke kumwacha mwanaume.

Mwanamke anaachwa kama anavyo fuatwa kipindi cha kutongozana.

Mwanamke hapaswi kumwacha mwanaume kamwe bali anaachwa.

Ushindwe katika jina la Yesu...............................
 
self-centredness - ... caring for yourself and your own needs

Umalaya - Promiscuity ...having many sexual partners in the absence of any commitment

Muhuni - Hooligan - ...malicious destruction of the property of others[/B ]

Kwa hiyo tunakubaliana kuwa sio wote wanaoacha/chwa ni malaya au wahuni.
 
self-centredness - ... caring for yourself and your own needs

Umalaya - Promiscuity ...having many sexual partners in the absence of any commitment

Muhuni - Hooligan - ...malicious destruction of the property of others

Duh...............imekuwa darasa sasa.........asante na tusiojua tumejua......................
 
leo watu mko vere vere mnashusha mapoint ya kufa mtu, nimefaidika sana na jf siku ya leo msione niko kimya natafakari kila post hapa yaani zote ni useful. Thanks wapendwa
 
heheeh sweetheart, hayo mavituko yanatokea kabisa kwenye talaka za siku hizi, kuna njemba ilimwacha mke wake eti hajui kutumia remote ya plasma TV anamwaibisha kwa mafriend wake. msibishe! imetokea nyumba ya kumi tu kutoka hapa ninapoishi
Ankal kuna njemba ilimuacha wife wake kwa sababu haujui kupika wife badala ya kupika anaenda kununua chakula fast food
 
ni kweli huwezi badili tabia za mtu lakini ndoa na familia yoyote ili ifanikiwe kuna mambo ambayo lazima mkubaliane na kuweka mapungufu yenu pembeni sasa inapotokea mmoja anasema tu mwingine hasemi na hafanyi matatizo huanzia hapo.

na hapa tusijiongee mr&mrs tu, ndoa inaweza kuvurugika pia kutokana na familia zetu kwa pande zote mbili, mfano halic ni kwamba ndoa ya dada yangu wa kuzaliwa imesambaratika coz ya mama mkwe na mawifi...so kuna vijimambo kibao vinavyoweza kusababisha ndoa kumomonyoka.
 
Ni dhambi kubwa sana mwanamke kumwacha mwanaume.

Mwanamke anaachwa kama anavyo fuatwa kipindi cha kutongozana.

Mwanamke hapaswi kumwacha mwanaume kamwe bali anaachwa.

Fidel unatuharibia post yetu pendwa watu tuko darasani ati! Ila umenichekesha hapo bold lol
 
na hapa tusijiongee mr&mrs tu, ndoa inaweza kuvurugika pia kutokana na familia zetu kwa pande zote mbili, mfano halic ni kwamba ndoa ya dada yangu wa kuzaliwa imesambaratika coz ya mama mkwe na mawifi...so kuna vijimambo kibao vinavyoweza kusababisha ndoa kumomonyoka.

Huyo dada ako ameachwa au ameachika?
 
Imeandikwa mwanamke atamwacha baba ake na kumfuata mwanaume.
Na mwanaume akikurushia vilago unarudi kwa baba na mama

Na mwanaume atafanya nini??? Muone kwanza kichwa kibayaaaa........................................
 
lakini Nyamayao mwenye jukumu la kulinda ndoa ni nani huoni ni sisi wengine kutotumia akili zetu tu ndo husababisha yote hayo.

na hapa tusijiongee mr&mrs tu, ndoa inaweza kuvurugika pia kutokana na familia zetu kwa pande zote mbili, mfano halic ni kwamba ndoa ya dada yangu wa kuzaliwa imesambaratika coz ya mama mkwe na mawifi...so kuna vijimambo kibao vinavyoweza kusababisha ndoa kumomonyoka.
 
[/SIZE][/B]

Fidel unatuharibia post yetu pendwa watu tuko darasani ati! Ila umenichekesha hapo bold lol

Ukweli ndo huo mwanamke hapaswi kumwacha mwanaume ndo maana mnaambiwa kuweni wavumilivu.

Maji yanapo zidi unga mwanamke anaachwa, ukiona mwanamke amemwacha mwanaume huyo mwanamke mhuni hafai katika jamii ni kheri afungwe jiwe shingoni na kutoswa baharini ili kiwe chakula cha samaki.
 
heheeh sweetheart, hayo mavituko yanatokea kabisa kwenye talaka za siku hizi, kuna njemba ilimwacha mke wake eti hajui kutumia remote ya plasma TV anamwaibisha kwa mafriend wake. msibishe! imetokea nyumba ya kumi tu kutoka hapa ninapoishi

mkuu hii kali.. alikua hafundishiki? lolz
 
Imeandikwa mwanamke atamwacha baba ake na kumfuata mwanaume.
Na mwanaume akikurushia vilago unarudi kwa baba na mama
Fidel nikumbushe nikupeleke sehemu moja inaitwa BILLIONAIRES CLUB iko Mikocheni uone habari yake.
 
Na mwanaume atafanya nini??? Muone kwanza kichwa kibayaaaa........................................

Na ndo maana wewe ukiolewa na mwanaume unaishi kwenye nyumba ya mwanaume hata kama mwanaume anaishi kwenye nyumba ya ukoo unaishi nae hapo hapo na wakwe na mawifi huwezi wewe ukamchukua mwanaume ukaenda kuishi nae kwenu yaani ukweni...hata siku moja niambie kama umeona binti kaolewa na anaishi na mwanaume kwa wazazi wake huyo mwanamke wapi umeona?
Kwa mantiki hiyo mwanamke anaachwa au anaachika.
 
Back
Top Bottom