Sasa we jamaa, uliyoitoa inakuwa kama manually kwa kuwa kila somo itanibidi nitafute idadi ya A peke yake kwanza, kisha B+ peke yake, kisha B peke yake, kisha C peke take, n.k yaani mpaka masomo yote 9 ni shughuli.
Sasa mi nataka formula ya ku-process masomo yote 9 na kwa wanafunzi wote (hata wakiwa 600 kwa mfano) ili nipate summary ya jumla ya grades hizo kwa kila somo kwa wanafunzi wote.