natumaini mko poa wanajamii
Maisha mgumu mtaani elimu ipo kazi hamna, nimeamua kujiajiri jamani tupeane tenda
kwa yeyote atakae hitaji kutengenezewa website za occasion mbalimbali kama vile wedding, birthday,funeral, sendoff etc
atakependa naomba tuwasiliane tafadhali, bei ni rahisi na hamna haja ya kulipia domain. Hii ni njia rahisi mno ya kuhifadhi picha zako na kushare picture za events mbalimbali na ndugu jamaa walio mbali
check me on rmwaka@ovi.com
nitakupatia sample ya kazi amezonimeshafanya had saa hizi
please tusaidiane maisha mjini magumu!