Tupeane busara, nini kifanyike pale Usaliti unapotokea?

Kama unajisikia kulia lia mpaka uchoke.
kama unajisikia kula yaani kula kila utakacho kitamani
lakini cha muhimu ushajifunza na hata ukiingia kwenye mahusiano mengine utajua nini cha kufanya ila kikubwa nachokushauri USIMWAMINI MWANAMKE HATA KWA 1%
Haya mambo hayana formula muhimu umakini na kutumia akili tu
 
Basi ugunduzi wako bado haujafanikiwa ufanye tena zipo sababu nyingi zaidi ya ulizo zisema
katika kuishi kwangu nimegundua vitu viwili vinavyoweza kumtoa mwanamke nje ni kutosuguliwa kisawasawa na matunzo(mahitaji), ukikosa kumpatia mwanamke hivyo vitu ujue lazma atagongwa na wajanja tu nje
 
Back
Top Bottom