Tupeane busara, nini kifanyike pale Usaliti unapotokea?

Aisee tupeane busara,
Kipi waweza kufanya, au ulifanya Nini pale ulipojihakikishia mpenzi wako (sio mke) anatoka kimapenzi na mtu mwingine?.

Ni Hilo tu
katika kuishi kwangu nimegundua vitu viwili vinavyoweza kumtoa mwanamke nje ni kutosuguliwa kisawasawa na matunzo(mahitaji), ukikosa kumpatia mwanamke hivyo vitu ujue lazma atagongwa na wajanja tu nje
 
Kama si mwanamke wa ndoa nitachukulia poa tu, muhimu na mm nitatafuta chimbo jingine.

Ila kama niwa ndoa,
Hakika mwanamke huyo nitampa taraka kwa kosa lakufanya ukahaba.
 
Mkuu Sidhani Kama hi ndo sababu sahihi
katika kuishi kwangu nimegundua vitu viwili vinavyoweza kumtoa mwanamke nje ni kutosuguliwa kisawasawa na matunzo(mahitaji), ukikosa kumpatia mwanamke hivyo vitu ujue lazma atagongwa na wajanja tu nje
 
Kwaiyo asiye was ndoa utakubali uendelee kushare na wengine huku ukijua mkuu?

Inahitaji moyo
Kama si mwanamke wa ndoa nitachukulia poa tu, muhimu na mm nitatafuta chimbo jingine.

Ila kama niwa ndoa,
Hakika mwanamke huyo nitampa taraka kwa kosa lakufanya ukahaba.
 
Nimesema nitatafuta chimbo jingine.
Alafu kushare mwanamke inadipend sometime.

We husikii watu wanakula wake za watu???
Yaani mie sijamuelewa anamaanisha nini...

Hapa anataka kutwambia kuwa yeye ni malaika.. Maisha haya Tumia tu akili zako vizuri...
 
Kama unajisikia kulia lia mpaka uchoke.
kama unajisikia kula yaani kula kila utakacho kitamani
lakini cha muhimu ushajifunza na hata ukiingia kwenye mahusiano mengine utajua nini cha kufanya ila kikubwa nachokushauri USIMWAMINI MWANAMKE HATA KWA 1%
 
Aisee tupeane busara,
Kipi waweza kufanya, au ulifanya Nini pale ulipojihakikishia mpenzi wako (sio mke) anatoka kimapenzi na mtu mwingine?.

Ni Hilo tu
Najijua kabisa si mvumilivu kwa mtu msaliti wa mapenzi yangu.

Nikishaona dalili tu, huwa naanza harakati mapema. Tena huwa natafuta mkali zaidi yake polepole.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom