Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Kuna binti nalitokea kumkubali na nikahitaji kufanya naye maisha ,ila kona zake zikawa nyingi ingawa nilikua pure and true kwake ,,, aahh nikaona isiwe tabu bana ,maisha lazima yaendelee isionekane Mimi ndo mwenye uhitaji sanaaa ,nikaamsha zangu !!
 
Njoo kwangu mama tuufungue ukurasa mpya Valentine hii!
Unataka twende wapi King Solomon Hotel basi mororooo.
 
Ooh Mungu usinipe mapenzi maana wapendwao hakuna
 
kwa nini huwa unatoa papuchi yako hovyohovyo?
 
Habari ndio hiyo hakuna wa kukupenda lile pendo haswa siku hizi. Tafuta wa kuongea naye, kufanyana naye kwa raha zako ukitoka hapo unajipenda mwenyewe!
Mawazo kama haya niyawatu wenye tatizo la kisaikolojia,mapenzi nikama bahari yagawe tu kwa uhuru
 
Usikubari kuliwa papuchi tu bure bure, kumbuka papuchi yako inathamani ninamaana yakuwa utakapo funua sketi yako iwe ni kwamalengo ya kupata mtoto tu sawa dada angu. Hakuna furaha ya mwili kama kupata mtoto hiyo ndo furaha kubwa kuliko zote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…