Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,716
- 21,521
Nakutaka wewe kama zawadi.Hiyo inaharibu meno, chagua nyingine.
Uendelee kuwa upande wangu, unifundishe, unionye , na kunikumbusha nikipotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutaka wewe kama zawadi.Hiyo inaharibu meno, chagua nyingine.
Asante Mkuu. Kwa maelezo.Yes, ila kuna mtoa hoja kauliza kuhusu jinsia ya Aisha (ni ke au me?).
Kama ni ke, ile 'of his father's wife' haisimami kwa ajili ya Aisha.
Was supposed to be 'of her father's wife' ili John a-qualify kuwa cousin.
Nakutaka wewe kama zawadi.
Uendelee kuwa upande wangu, unifundishe, unionye , na kunikumbusha nikipotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siyo zawadi tena kwa sababu tayari nipo, na hayo ni majukumu yanayoendana na kuwepo kwangu.
Jibu ni lile lile. Kwa mtazamo wa mimi.Baada ya hayo maelekezo, jibu lako linabaki vile vile?
Au kuna changes!