Tupe jibu lako hapa.

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
10,291
Points
2,000

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
10,291 2,000
umechemka.Soma vizur. kuna "his" hapo badala ya "her"
If his ni possessive pronoun ya Aisha, means Aisha ni mwanaume na hapo "cousin" stands.

Lakini kama hizi inamzugumzia John and Aisha is a girl/woman, means the sentence does not tell any relationship kati ya hao wawili.
 

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
10,291
Points
2,000

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
10,291 2,000
Si ndiyo mjomba? Mke wa baba yake ni mama yake. Au sivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, ila kuna mtoa hoja kauliza kuhusu jinsia ya Aisha (ni ke au me?).

Kama ni ke, ile 'of his father's wife' haisimami kwa ajili ya Aisha.

Was supposed to be 'of her father's wife' ili John a-qualify kuwa cousin.
 

Forum statistics

Threads 1,353,115
Members 518,257
Posts 33,071,874
Top