Tupanue maarifa kuhusu Satellite

Nini tofauti ya kimatumizi kati ya satelite za watu na ya mwezi ukitoa unatural na artificial?
 

Nilimaanisha radar hizi kupachikwa chini na sio zilizobeaatached ndan
 
Kuna approximately 2,271 spacecrafts(satellites) in orbit. Russia inamiliki karibu 1300 na USA 600+ huku zingine zikimilikiwa na nchi zingine. Zaidi ya nchi 40 zina spacecrafts in space currently. Lakini ni nchi 10 tu zenye uwezo fully wa kurusha na ku-operate satellites angani hivyo zingine hutumia msaada wao.

Satellite hukaa kwenye orbit umbali wa 20,000km to 36,000km juu ya uso wa dunia.

Sio satellites zote zinafanya Kazi kuna zingine zimeshakufa hivyo hazitumiki tena hizi huitwa space debris ukizingatia satellite ya kwanza ilirushwa na Russia mwaka 1957.

Wadau wengine wameeleza definitions na matumizi ya satellites. You're welcome
 
Nini tofauti ya kimatumizi kati ya satelite za watu na ya mwezi ukitoa unatural na artificial?

Mkuu one definition of the word satellite is a body that orbits a larger body. Hapo ndio mwezi unaingia. Hata kiatu kikikaa na kuzunzguka dunia kitaitwa satellite. Matumizi ya spacecrafts(satellites) ambazo Ni manmade wadau wametaja juu pitia comments
 
Je satellite huundwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…