Tupambane tufe kama hayati na si marehemu

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,727
Reaction score
37,031
Habari wana JF

Kwanza kabisa lazima tukiri kila nafsi itaionja mauti (hapa tuna uelewa wa pamoja). Pili, jambo la kufikirisha ni unakufaje, baada ya kufa utapata status gani? hayati au marehemu?

Kwa haraka haraka kuna wale ambao ni wazito kufikiri na wanaochukulia poa kila jambo lakini status baada ya kifo matters most. Wenzetu wanaita LEGACY, bahati mbaya kwa haraka haraka nimekosa kiswahili chake ila ni mazuri gani umeyaacha na je wewe ni mtu wa kutiliwa mfano?

Kuna tofauti yako wewe na Mwalimu nyerere, Kwame Nkuruma, Dr. Reginald Mengi n.k. Hawa watu kuna vitu wamefanya kwa jamii yao na hivyo baada ya kufa woa ni hayati na si marehemu.

Kwakua sisi wote ni marehemu watarajiwa, basi kuna kila sababu ya kufanya kazi kwa bidii na kubadili status baada ya vifo vyetu. Nawatakia maombolezo mema katika kipindi hiki kigumu tunachoomboleza kifo cha Hayati RAM

Kama unabisha andamama, kibali kimetoka.
 
Hujasema faida za kuitwa hayati ukishakufa.
 
Back
Top Bottom