General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Sawa, lkn na wewe unaweza jilinganisha na huyo?View attachment 656440nasie tumo jamani !naona ni vitoto vyembamba tu !aku !na sie pia tunapendeza tu!
Kuwa mnene si tatizo pia.
Sawa, lkn na wewe unaweza jilinganisha na huyo?View attachment 656440nasie tumo jamani !naona ni vitoto vyembamba tu !aku !na sie pia tunapendeza tu!
hahahaUzuri wa siku hizi kuvaa manyoa ya mbuzi kichwani
Haya bwana
Akivua hapo, mapaja yamepasuka na kukunjana kama bonde la ufaMadera yanaficha mengi aisee
Heavy weight hyoView attachment 656440nasie tumo jamani !naona ni vitoto vyembamba tu !aku !na sie pia tunapendeza tu!
Unaonekana wa kweli huoHuo ni mzigo wa kweli au umeongezwa na zoom
HATARI MBWA WAKALI
Sio wote wanakuwa hivyo mkuuAkivua hapo, mapaja yamepasuka na kukunjana kama bonde la ufa
Species zaiv utazipata kwa wanyakyusa......Mwingine huyo
![]()
Utaandika vyote ila usisahau pia urembo ni ingredient ya uzuriUZURI wake ni nini? Mwanamke MZURI ni yule anayeutunza mwili wake na kujiheshimu. Mwanamke MZURI ni yule anayetunza BIKIRA yake mpaka siku ya ndoa. Mwanamke MZURI ni yule anayemwogopa MUNGU na kulitii neno lake.
Kama hako "kabinti" kana hizo sifa nilizozitaja hapo juu, basi hakika ni "KAZURI MNO".
Sasa mbona wakawaida sana huyo au rangi imekuzuZua na mapozi ya kupigia picha
Rangi imemzuzua ,,ndo maana nikasema hakufikii wewe My chickadeeSasa mbona wakawaida sana huyo au rangi imekuzuZua na mapozi ya kupigia picha
Nakumbuka nawish hii siku ijiludieRangi imemzuzua ,,ndo maana nikasema hakufikii wewe My chickadeeunakumbuka tulivyocheza ?.![]()
Hata usijali ,nitakupeleka tena tichezeeee mpaka utakaposema imetosha .kisha tutarudi [emoji116] [emoji116]Nakumbuka nawish hii siku ijiludie
Nasubirijeee kwa hamu......usinirudishe mapema kama siku ile uniweke japo kwa siku tatuHata usijali ,nitakupeleka tena tichezeeee mpaka utakaposema imetosha .kisha tutarudi [emoji116] [emoji116]
Hata usijali kila kitu kipo sawa [emoji8] [emoji73]Nasubirijeee kwa hamu......usinirudishe mapema kama siku ile uniweke japo kwa siku tatu