Tuorodheshe MAAJABU yanayoandaliwa na wanadamu ili kuuhadaa ulimwengu

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
1. Kuwepo kwa samaki nguva.
2. UFO
3. The pandoras box
4. The bemuda triangle
5. Kikombe kinachotibu magonjwa yote sugu.
6. Kuzaliwa kwa kondoo mwenye maandishi ya sura "YASIN".
7. Kuwa atakayejitokeza kumpinga JK kwenye kinyanganyiro cha urais atakufa.
8. Kuwa wakati tunajiandaa na uchaguzi mkuu(uliopita) mmoja wa wagombea urais atakufa.
9. Kuwa uchaguzi mkuu(uliopita) hautafanyika.
10.
 
1. Kuwepo kwa samaki nguva.
2. UFO
3. The pandoras box
4. The bemuda triangle
5. Kikombe kinachotibu magonjwa yote sugu.
6. Kuzaliwa kwa kondoo mwenye maandishi ya sura "YASIN".
7. Kuwa atakayejitokeza kumpinga JK kwenye kinyanganyiro cha urais atakufa.
8. Kuwa wakati tunajiandaa na uchaguzi mkuu(uliopita) mmoja wa wagombea urais atakufa.
9. Kuwa uchaguzi mkuu(uliopita) hautafanyika.
10.

hizo tatu hapo juu sizijui kabisa,...anyway naomba kunjuza
 
hizo tatu hapo juu sizijui kabisa,...anyway naomba kunjuza

Igwe....Igwe......nitakuja kukuelezea hivo vitu....lakini ni mbili tu.....The Pandorax box hata mimi ni mgeni huko
 
UFO=Unidentified Flying Objects!
Some kind of aliens moving in air not scientifically explainable.
 
Ya 10! Hakuna? Nafikiri hapo hapo Kilimanjaro atazaliwa Nguruwe yenye maandishi sawa na ya yule mwana kondoo. Halafu ntaona kama waumini wenzangu watatafakari vp.
 
kuwa kuna binaadam mwenye uwezo wa kufikiri kwa kutumia makalio badala ya kichwa!!
 
vibweka haviishi hii nchi
  1. richmond
  2. Dowans - sa hivi wamekuja wamarekani ila siwajui
  3. mabom mbagala/gongo la mboto
  4. Kikombe/vikombe kila mkoa vinavyotibu
  5. katiba mpya - hakieleweki
  6. Mgao wa umeme
  7. mgomo wa mafuta
  8. raisi kutalii nchi za nje kama mfalme na kuacha kuhutubia nchi kila mwezi....
endeleza vibweka
 
11. Kujivua gamba.....
12. Mvua ya mabomu....
13. Mafisadi ni wachapakazi, watu safi Tanzania....
14. Ahadi 86 kwa mwaka mmoja....
15. CHADEMA wakiichukua dola wengine watahama nchi, na wengine kujinyonga....
16. Waziri Mkuu kudanganya taifa....
17. Polisi kuiba maiti mochwari....
18. Hotuba ya rais kususiwa bungeni....
19. Maandamano ya kuunga mkono hoja....
20. Kutembea kwa baiskeli kutoka mwanza hadi Dar es Salaam kumpongeza rais kwa ushindi...
21. .......
 
1;Nero, Christians, and the Great Fire of Rome
2. Remember the Maine, to Hell with Spain
3. The Manchurian Inciden
4. Secrets of the Reichstag Fire
5. The Fake Invasion at Gleiwitz
6. The Myth of Pearl Harbour
7. Israeli Terrorist Cell Uncovered in Egypt
8. Operation Northwoods
9. Phantoms in the Gulf of Tonkin
10. The September 11, 2001 Attacks
 
Back
Top Bottom