Tuongee magazeti: Wakili msomi fikiri zaidi ya hapo

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,242
Wakili Donatus Rutagimbwa wa Mwanza, unaonekana uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo, kama siyo hiyo basi wewe ni mnafiki, unjafanya makusudi kuwafurahisha/ au woga wa fulani.

Tanzania hakuna matatizo ya watu kungagania madarakani? Hakuna malalamiko ya uchaguzi kuibiwa kura? Ya Shein?

Una uhakika ikitokea upinzani ukashinda utapewa nchi kilaini? Matamko ya mapindizi hayakuletwa kwa karatasi huyajui?
 
Nchi hii ina-System nzuri sana ya kuwafunga midomo na macho watu wale wenye uwezo wa kuona na kusema vema...Wamegeuka ndumilakuwili wakiamini nikisema kweli kesho nitashinda njaa....Jana nilikuwa namuangalia Humphrey PolePole kwenye kipindi cha Adam Simbeye anavyotetea sera za CCM...Nikajikuta nacheka tu nikikumbuka alivyokuwa akisema CCM imepoteza muelekeo kabisa na alionyesha mashaka makubwa kuwa ni ngumu hata kuchukua Dola mwaka
jana....
 
Njaa, Njaa, Njaa.

Ndiyo inayopofusha akili za "wasomi". Wanazungumza kwa kuweka mitaji (kupamba dola ya mfalume) ya kuteuliwa siku za usoni.
 
Nchi hii ina-System nzuri sana ya kuwafunga midomo na macho watu wale wenye uwezo wa kuona na kusema vema...Wamegeuka ndumilakuwili wakiamini nikisema kweli kesho nitashinda njaa....Jana nilikuwa namuangalia Humphrey PolePole kwenye kipindi cha Adam Simbeye anavyotetea sera za CCM...Nikajikuta nacheka tu nikikumbuka alivyokuwa akisema CCM imepoteza muelekeo kabisa na alionyesha mashaka makubwa kuwa ni ngumu hata kuchukua Dola mwaka
jana....
USIMUAMINI kabisa MWANASIASA.
 
Jana alikuwa CH 10 na makwaya,aisee kazi ipo,sipati picha likija la katiba sasa,ndipo utapojua mtz ni nani.
 
Kujipendekeza imekuwa aina ya taaluma Afrika, ni viongozi wachache katika Afrika wanaotambua, huyu mshauri ametoa ushauri au amejipendekeza. Mengi ya makosa wayafanyao viongozi wa Afrika yanatokana na ushauri mbovu, wa woga, unafiki na katika ujumla wake kujipendekeza.
 
Wakili Donatus Rutagimbwa wa Mwanza, unaonekana uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo, kama siyo hiyo basi wewe ni mnafiki, unjafanya makusudi kuwafurahisha/ au woga wa fulani.

Tanzania hakuna matatizo ya watu kungagania madarakani? Hakuna malalamiko ya uchaguzi kuibiwa kura? Ya Shein?

Una uhakika ikitokea upinzani ukashinda utapewa nchi kilaini? Matamko ya mapindizi hayakuletwa kwa karatasi huyajui?
Retired,kati ya kada inayokatisha tamaa hapa Tanzania ni hao wanaoitwa wasomi. Lengo lao kubwa ni kupata mkate....nakupa mifano ya msomi wetu kwa ngazi ya uprofesa Mh Ibrahim Haruna Lipumba. Ona vituko anavyofanya ndo ujue ukiwategemea wasomi unapotea. Unamkumbuka kijana machachari akizunguka Tanzania nzima karibia kueleza vituko vya CCM na jinsi inavyominya demokrasia kwa kutokuwa na katiba nzuri. Kwa jina anaitwa Humphrey Polepole. Je,leo atasimama kupinga katiba pendekezwa?
Ni wengi mno wa aina ya huyo wakili,mwacheni jamaa apate mkate wake wa kila siku,msikilize lakini sio lazima kuamini ayasemayo.
 
Back
Top Bottom