Tuombe msaada kutoka wapi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,181
Reaction score
96,271
Hapa tulipofikia wenyewe hatuwezi. Tuombe msaada wapi?

1. Bunge si letu
2. Mahakama si yetu
3. Serikali si yetu
 
Hapa tulipofikia wenyewe hatuwezi. Tuombe msaada wapi?
Kuna aina nyingi za misaada

Unataka msaada wa mafuta au?

Ukiwa na hasira ni vyema ukapendelea kunywa maji mengi hii hufanya tumbo lako kushiba mapena na kupunguza hasira,Pia maji mengi husaidia kukaa kimya mahali penye kero
 
mafuta kutoka kwa mama yako sawa
 
Tujikabidhi kwa Mungu pekee kwake hakuna linaloshondikana tumaini letu liko kwake
Zaburi 84:12
[12]Ee BWANA wa majeshi,
Heri mwanadamu anayekutumaini Wewe.
No reform No Election
 
Attachments

  • 20250611_155416.jpg
    71.4 KB · Views: 7
Kilichobaki ni kufanya maandamano yasiyo na kikomo ili hayo yawe yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…