Amani haihusiani na haki, unapodhulumiwa unatakiwa uwe mtulivu, tulia kwani haki ya mtu haipotei, hii ni kulingana na katiba ya CCM.Amani ipi Hiyo ikiwa watu wanatekwa na kufungwa bila sababu za msingi.
Mbona sijaona maneno tutendeane haki,tusiibiane,tulindane tusitekwe ama kutekana?Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane.