tununue gari gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tununue gari gani?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kapujege, Aug 7, 2012.

 1. k

  kapujege Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu,mimi na mzee wangu 2po njia panda tununue gari gani kati ya harrier na noah new model.mimi nasema harrier yeye anataka noah. Je tununue ipi ambayo ina kiwango kizuri? NAOMBENI USHAURI.
   
 2. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  funguka
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kwa kua ni familia nunueni noah new model.
   
 4. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani mko wangapi katika familia na je barabara zenu zikoje????
   
 5. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,740
  Likes Received: 8,317
  Trophy Points: 280
  Hehe...siipendi harrier koz nishakuwa na xperience mbaya nayo..ni nzuri kwa nje bt for a man sidhan kama utsipenda...n ts fuel consumption is jus a waste nothing beta to offer.
  I would say..go for th Noah ama better stil a rav4 new ata old model kama cash hairuhusu.
   
 6. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Mbona mi naona Noah na Harrier ni vitu viwili tofauti?
  Hw can u compare 4 wheels drive na 2wheel drive?

  Harrier ni gari kubwa pia maint cost iko juu na fuel consump lazma ni kuwa hata bei ni tofauti sana.

  Noah is a min bus mainly for family ila hiawezi kuvumilia shida na haina 4wheel.

  Cha msingi angalieni mahitaj yenu kwa maana ukubwa wa familia, aina ya barabara zenu, kipato chenu na n.k

  Km hutegemei kwenda kwenye madimbwi au mashambani basi noah ndo inakufaa
   
 7. s

  saq JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nunuwa toyota duet, inanipa fuel consuption ya 1lt kwa 12km.
  nauza kwa bei ya kichizi 4.8million tuu....inahijit.service za piston na oil seal.
   
 8. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Hilo ni bom linasubiri wa kumlipukia!!!!!!!!!
  Kama ipo mzuka si utumie mwenyewe mkuu.
   
 9. s

  saq JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  misitaki kutumia hela ku fanya repair...inatakiwa repair ya kama maximum laki 5... dio mana nauza hiyo gari rahisi.
   
 10. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mi nangewashauri kivingine kwanini msinunue piki piki kila m2 aendeshe yake coz hapo patakuwa na ugonvi wa nani kuendesha ilo gari
   
 11. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu vipi body yake haija guswa au ndio ishakula puti mpaka basi
   
 12. s

  saq JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  body ipo safi kabisa...
  tatizo ni ya oil seal na piston ring.... baas.... mi sityaki ku tumia hela ku repair na matatizo na mafundi...
   
 13. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Neutral, subaru forester sti
   
 14. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  What is your budget? what is purpose of the vehicle? is this your first vehicle? who pays?
  Inawezekana baba yako anakataa kwa sababu yeye ndio atakayelipa kwa sababu harrier ni more expensive, nyingi zina cc 3000 wakati noah ni 2000-2500. Noah ukichoka you can quickly turn it into business vehicle.
   
Loading...