Tunu za mataifa hadhina kwa vizazi vijavyo duniani

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
351
871
HIZI NI TUNU ZA MATAIFA HADHINA KWA VIZAZI VIJAVYO DUNIANI

Na
Comred Mbwana Allyamtu.

Ni nadra sana kukuta watu mahali popote duniani wakilijadili hili kwa mapana yake hasa kwa uzito wake. Na mara nyingi huona ni jambo la kunukuu tu kisha kuliacha kama sehemu ya kumbukumbu na hii ulifanya kizazi cha siku hizi kuto jua hata baadhi ya mambo muhimu kutoka kwenye hadhina hizi.

Kimsingi hadhina hizi ni viongozi WAASISI wa mataifa ya AFRIKA. hawa huitwa BABA WA TAIFA katika mataifa yao kiukweri hawa ni hadhina kwa namna zote
Siku moja nilipata bahati ya kuzungumza na pro. ISSA SHIVJI alicho niambia katika mtaala wa masomo nchini India kunasomo linalofundishwa (compasory subject) linalomuhusu Baba wa taifa hilo Mohandaras Karamchandi Mahatma Ghandi, linalojulikana kama "Ghandi and the Nation of India" yani 'Ghandi na taifa la India' somo hili humuhusu ghandi na spirit of natinalism of India hii ni sehemu ya kukuza uzalendo wa hali ya juu na kuenzi fikra za utaifa mama (mother spirt of natinalism) hii ni kitu muhimu sana kwa taifa lenye kuheshimu uhai vizazi vyake. Hivi ndivyo ilivyo hata marekani pia kuna somo kama ilo kuanzia shule za msingi mpaka elimu ya juu lakin wenzetu wamerekani wameweka tuni hii inayomwelezea Baba wa taifa lao Georg Adam Washington kwenye katiba yao na ibara hii ina mwelezea yeye tu na kutamka mambo kadhaa wa kadhaa juu yake katka katiba yao ya marekani ( Chapter 2 acticle ll section 1) na kwa bahati nimepata bahati ya kuipitia na kuona tunu hiyo.
Lakin alkadhalika China ,Urusi na Ujerumani wameliendhi hili.

Huku kwetu jambo hili limepuuzwa na kuliona la hovyo kabisa kama sio kulizika kabisa kwenye baadhi ya mataifa kama vile DRC wakati wa utawala wa Mobutu ulitumia gharama kuhakikisha historia ya Patrice Lumumba inafutika kabisa na pia ndio ilivyo kuwa Uganda ya Militon Obote, Somalia ya Abdullah Osman Abel Adeni, Afrika ya kati ya Denisi Dako, Zambia ya Dr Keneth Kahunda, Nigeria ya Dr Benjamin Nandi Azikiwe, Siera lioni ya Milton Marighai na mataifa mengine mengi sana ambayo sijayataja hapa watawala waliotawala walihakikisha wanafutilia mbali historia zao ikiwa ni pamoja na kushiliki katika vifo vyao.

Tunu- ni hifadhi ya taifa lolote ambayo huwa ni hadhina kwa vizazi vya leo na kesho.
Taifa lolote lisilo hifadhi tunu zake kama Lugha,history, utamaduni wake, rasrimali zake na viongozi waasisi wa taifa. Ni sawa na kupiga rangi upepo kwa mantiki ya taifa hilo haliwezi kustawi kwani linaweza kubugujika kama barafu wakati wowote.
Kuna msemo unaosema kuwa "kama hauna njia inayo kuongoza basi kupotea ni kazi lahisi sana kama barafu kuyayuka kwenye jua" hivyo ndio ilivyo hata hapa kwetu Tanzania tumepotea kwenye njia sababu tumeshindwa kuenzi tunu zetu hii imepelekea kuzaraulika nje ya nchi yetu na kutuona watu wa hovyo pamoja na mchango mkubwa tulioutowa kwa kaka zetu na dada zetu wa afrika katika ukombozi barani afrika hali iliyopelekea hata kuyumbisha uchumi wetu kutokana na kuwa tayali kupoteza damu zetu kuwakomboa ndugu zetu waafrika nyote ni mashahidi kwa hili kwani leo pamoja na mchango mkubwa wa Mwalimu Nyerere bado hatambuliki wala athaminiki Afrika hakuna hata siku moja kwenye mwaka yani "Nyerere day" iliotengwa kwa ajili ya kukumbuka mchango wake Afrika kama ilivyo fanya kwa "Mandela day" lakini hii inatoka na sisi kuto kutoa heshima ya kutosha kwa Baba wataifa letu sisi wenyewe tunamchukulia mtu wa hovyo ndio maana na wenzetu nje wamelechukulia kihovyo hovyo.
Leo hii ukienda makumbusho ya lilongwe malawi au lusaka zambia huwezi kukuta hata picha moja ya Mwl Nyerere pamoja na mchango wake huko hali hiyo ndivyo ilivyo Cape Town,kinshasa, nairobi, kampala,luanda, na majiji mengine mengi afrika hii sisi ndio tumesababisha hali hii.

Mim mwenyewe nimepata bahati ya kutembelea Addis Ababa Ethiopia kwenye makumbisho ya umoja wa Afrika (Afrika Union Museum) nilicho shangazwa nacho ni kwamba picha ya mwalimu nyerere zilikuwa picha 7 tu katika jengo zima lenye ghorofa karibu 6 na kwenye hall zima lenye ukubwa sawa na nusu ya uwanjwa wampira eneo lenye kumbukumbu ya picha linaloitwa "graphic garaly" nilikuta picha 5 tu jambo nilolishangaza sana na picha zenyewe ni zile alizo kuwa na maraisi wenzake kama Haire Serasie,Jomo kenyata, na wengine lakini hili kwakeri lilinisikitisha sana.
"Kwanini laki inakuwa hivyo" ndivyo nilivyo uliza kwa museologist lakini hata yeye alisema kuwa izo juhudi azijapewa kipaumbele.
Nazani sasa tunahaja ya kuanza kuonyesha kipaubele kwenye hili la tunu la taifa ya wasisi wetu.
Katika hili nimesukumwa kuandika makala hii kutokana umuhimu huu wa hili jambo katika kira upande wa sarafu. Kuna kauri inasema "lazima uheshimu historia yako kwa uchungu sana" kauri hii ilisema na Mohamedi Ally Jinahh mwasisi wa taifa la Pakistani pia "bila kujua na kuwatambua watu walio tutoa mahali kamwe hatuwezi kujua tutakokwenda" kauli hii ilisemwa na Raisi wa tatu wa marekani Thomas Jefferson. Na nimarize aya hii kwa kumnukuu Rais wa kwanza wa Cuba Jose Mart alisema " historia ya waasisi ni ni historia mama ya taifa lolote lenye hadhi ya uhuru kamiri" aliyasema haya mwaka 1893 alipo hudhuria mazishi ya mwasisi wa Venezuera Meja jenerari Merdoza mjini carakalasi.

Kama Afrika tuna haja ya kutenga siku maalumu ya kuwa kumbuka waasisi wetu na tuiadhimishe kwa heshima yaka najua ni wazo gumu kwenye baadhi nchi kwani kunanchi zina wachukuria wasisi wao kama madikiteta au vibaraka mfano ni Rwanda raisi kagame ameifunika siku ya "Gregory Kayibanda Day" na kuipa nafasi siku ya mashujaa hadhi yani kukumbuka ya ushindi wa RPFday huku ni kuifisha siku mama ya taifa na kufanya kizazi cha Rwanda kutomjua kayibanda na hivi ndivyo ilivyo Togo wameifutilia mbali kumbukumbu ya mwasisi wa taifa hilo Sylvanus Olympio.hata leo ukifika mji wa taifa la Tunisia Tunis hakuna tena historia ya mwasisi wao Habib Bongiba imekufa historia yake kabisa.

Je? Ni kweri hawatambui umuhimu wetu kwao. Au sisi atutambui katika kuenzi kumbukumbu zao? Au tumeamua kuishi hivyo?..........

Ndimi
Comred Mbwana Allyamtu
+255765026057
+255679555526
whatssap-255679555526
mbwanaallyamtu990@gmail. Com

IMG]https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b5e7f9453e4161c33418ba87769ba0f3.jpg[/IMG]
 
mbwanaallyamtu990@gmail. Comhttp://
www.jamiiforums.com/mobile-gallery/bfa2481faeadc5db375c0894c839e839.jpg
 
1467181675668.jpg
 
Mkuu unachokisema ni kweli kabisa.

Makala yako nzuri sana.

Tanzania mitaala yetu hii inachanganya sana, hakuna chombo cha kuisimamia kivile ndio maana mambo ya msingi kama haya huwezi kuyakuta kwenye mitaala yetu.

Enzi hizo kuna chombo kimoja tu cha kuchapisha vitabu (Tanzania Publishing House) ilikuwa angalau tunakuta mambo ya siasa za kujitegemea kwenye mitaala, angalau fikra za Nyerere zilikuwa zinapenyezwa.

Sasa Nyerere amebaki ni wa kuhutubia kwenye TV tu kufurahisha watazamaji lakini hasa kujenga fikra zake kwa vijana wa kizazi hiki kupitia elimu ya shule, hio kituhaifanyiki.

Kuna haja ya kufanya mambo kama matatu hapa.
  • Kurudisha chombo cha uchapishaji wa vitabu vya watoto wetu mashuleni kiwe kimoja na kisimamiwe na serikali, tofauti na sasa ambapo wachapishaji ni wengi na wanafanya biashara tu, hakuna anayezingatia contents zinazomjenga mtoto kiuzalendo.
  • Kuhakikisha kuwa mitaala inasimamiwa na serikali na iwe na ajenda maalum, mfano mtaala unaolenga kujenga uzalendo, mtaala unaolenga kukuza vipaji kama michezo, mtaala unaolenga kukuza uwezo waufikiri na mengine
  • Uwezekano wa kupitia historia upya hasa kwa ile inayosemekana imefichwa kwa sababu maalum, historia hii irejeshwe kwa upya kwenye mitaala yetu pia.
 
Hilo ni kweli na kama taifa tukishindwa kuwakumbuka na kuwaheshimu watu walio watupigania inamaana hatuwezi kuheshimu ushauri wao na kuuenzi.
Na hii labda ndio maana labda tunashindwa kuendelea kwasababu tumesahau ramani yetu.
 
Back
Top Bottom