TUNTEMEKE, Mbaya wako CHADEMA ni nani?

Habar wakuu!

Dawa ya TUNTEMEKE ni kamanda Molemo tu kwani ndio huwa anamuwezea vizuri na hata Tuntemeke anapojibiwa na Molemo mara nyingi hunywea kama mtoto, so tusijipe tabu kwani pale inapotokea uzushi wake humu dhidi ya viongozi wa CDM basi tusihangaike kwani dawa yake ni kamanda Molemo tu kwani ndiye anayemjua fika
 
Last edited by a moderator:
siasa za bongo ni fitna....uzandiki...majungu...hujuma....hata hivyo sidhani kama kuna chama kinaendeshwa kutokana na mijadala ya JF....kila chama kina utarayibu wake jinsi kinavyoendeshwa....hapa tunajadili mambo lakini ni nadra sana tunafikia mahitimisho
 
kamwe hawezi kupandikiza mgogoro ndani ya CDM kwani ni chama chenye viongozi makini wenye kufikiri kabla ya kutenda. kwanza hakuna haja ya kupoteza muda kumjadili mtu mwepeeeesi kama yeye. TUSONGE MBELE MAKAMANDA 2015 NCHI YA KWETU CHADEMA.
 
Nipo pamoja nanyi hata ukamilifu wa dahali,

Poleni sana kwa majukumu ndugu zangu hasa ya kujenga na kuimarisha utawala. Uongizi na maadili bora katika taifa hili. JF kama jukwaa huru limekuwa mstari wa mbele sana kufichua uovu na ufisadi mkubwa unaofanywa si tu na Serikali bali hata kwenye vyama vyetu.

Aliyeweka hoja hii hapa, Naomba kumfahamisha yeye na Umma wote wa JF kwamba mimi sina mbaya ndani ya CHADEMA kwa maana ya personal interest au conflict.
Pia sina ubaya wowote na binadamu yeyote katika taifa hili, kwasababu tumepewa amri mpya pendaneni YOH:13;34

Kwanini naonekana Mbaya kwa chadema?

1. Naonekana mbaya ndani ya CHADEMA kwasababu nafichua uovu ambao wanachadema wengi hawataki kuusikia, hawataki kusikia CHADEMA inahusishwa na wizi, ufisadi n,.k (Ili hali ndani ya
CHADEMA kuna maovu mengi sana ambayo vinara wake tumekuwa tukipambana nao hapa mara kwa mara).

2. Naonekana mbaya ndani ya
CHADEMA kwasababu hoja zangu nyingi zinaonekana zipo against na wale watu mnaowaamini kwamba wanaweza kuwa marais/viongozi wasafi katika Taifa hili. Ili hali si wasafi kwa kiwango kile sisi tunachowafikiria, Pia si kwamba wana busara kiasi kile ambacho sisi tulio nje ya CHADEMA tunafikiria juu ya watu hawa.

3. Pia naonekana mbaya kwasababu nimekuwa natuhumu moja kwa moja ukweli ulio wazi kwamba ndani ya
CHADEMA kuna watu wa aina mbili wale wanaosapoti upande wa mwenyekiti na katibu, na wale wanaosadikika wapo mbali na kundi la kwanza (kundi la ant-gaza(ukabila)

KWA MAANA HIYO NITAENDELA KUONEKANA MBAYA SANA KWA SABABU SITOISHIA HAPA WALA PALE KUPIGA KELELE JUU YA MISUGUANIO INAYOENDELA NDANI YA CHADEMA HASA ILE INAYOLENGA KUGAWA RASILIMALI ZA UMMA KWA MANUFAA YA WACHACHE, PIA MISUGUANO YOTE INAYOLENGA KUWAGAWA WATU WA KUSINI+WEST TO EAST WAONEKANE HAWANA MAANA NDANI YA CHAMA,WENYE MAANA NIWALE WAZAWA WA MWASISI WA CHAMA.

ITS VERY SAD KUONA SASA CHADEMA TUMEJIKITA KUPIGANA SISI KWA SISI/KUHUJUMIANA SISI KWA SISI KULIKO KUJENGA CHAMA NA KUIMARISHA BENDERA ZA CHAMA KUANZIA KWENYE MASHINA HADI MAKAO MAKUU.
Thanx
TUNTEMEKE ONCE AGAIN
 
Ungelikuwa unafichua ingelikuwa poa tu. Tatizo lako Unachapia na kutunga ili kujaziajazia kama wale wanawake anaopenda huyu Sheick....

Mungu huwa hamfichi mnafiki! Uliyafanya hayo gizani,leo hii unaonekana hadharani.Tuambie wewe masalia Mp7 ulipata faida gani kwa kupalilia mvurugano kwenye chama? By the way who is festo sanga? A cv can suffice the need of gt!
 
OK SASA TUAMBIENI HUYU NI JULIANA SHOZA,MCHANGE,ZZK,KITILA,AU YULE MWINGINE WA MBOZI AU NI BENI SaaNANE AU EXAUDI MAMUYA

MNAFUKUA FUKUAA MPAKA ZA AUGUST DUUUU JF KIBOKO.
 
Kwa mujibu wa Ben Saanane,

Jamaa mmoja aitwae FESTO SANGA ndie aliepewa kazi ya kuandika kwenye mitandao akitumia ID ya TUNTEMEKE akishirikiana na traitors wengine kina Mtela Mwampamba.

Nlikua nikijiuliza kwanini iwe TUNTEMEKE?
Kumbe basi FESTO aliamua kujiita hivyo ili kumuenzi Mwanasiasa mashuri wa zamani Bw. TUNTEMEKE SANGA, na hii ni sababu wanatumia Surname ya kufanana ya SANGA (ndugu??!!).
 
Last edited by a moderator:
Natoka Kigoma... Nimeaga kwetu... Nitakufa kwa amri ya Mungu... Siogopi kufa. ..Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. (Zotto Kabwe - Mbunge Wa Kigoma Kas 2012).
 
Inaonekana zile nyeti za vikao vya ndani Tuntemeke alikuwa anapewa na Zitto. Hawa masalia noma kweli, halafu kwa ujinga wao wanafikiri siasa za nyuma ya keyboard zinaweza kuondoa umaskini wa mTanzania

Big up Samson Mwigamba kwa kuwashtukia hawa wahuni wa Zitto na kujitenga nao hata walipojifanya watetezi wako maana hii aibu yao ingekuwa aibu yako
 
Mungu huwa hamfichi mnafiki! Uliyafanya hayo gizani,leo hii unaonekana hadharani.Tuambie wewe masalia Mp7 ulipata faida gani kwa kupalilia mvurugano kwenye chama? By the way who is festo sanga? A cv can suffice the need of gt!

niliwahi kumtaja humu nikaliwa kichwa kwa muda wa mwezi mzima, sijui kama na leo watanila. Mwita maranya na molemo wanajua hilo. Huyu dogo kamaliza duce mwaka huu, ni jobless. Hana undugu wowote na Tuntemeke Sanga(R.I.P) ila wanatoka kijiji kimoja. Ni maeneo ya kule kutumia majina yanayofanana kama sanga, mahenge, kyando nk ni kawaida kama moshi, lema, mushi, tarimo nk kwa wachaga. Inteligensia yangu ilimnasa ila nilivyomtaja nikaliwa ban lakini kuna watu niliwapa taarifa kuhusika kwa hawa watu wote. Hata ben mwenyewe nilimropokea kwenye uzi mmoja kwamba anahusika na alinichamba sana tu.
 
Inaonekana zile nyeti za vikao vya ndani Tuntemeke alikuwa anapewa na Zitto. Hawa masalia noma kweli, halafu kwa ujinga wao wanafikiri siasa za nyuma ya keyboard zinaweza kuondoa umaskini wa mTanzania

Big up Samson Mwigamba kwa kuwashtukia hawa wahuni wa Zitto na kujitenga nao hata walipojifanya watetezi wako maana hii aibu yao ingekuwa aibu yako

na kuna kipindi watu walidhani yeye ndo tuntemeke ila kukawa na contradiction nyingi
 
Thanx God at last amejibu maombi yetu maana hili jina limetutesa sana humu JF tukijua ni mtu mmoja kumbe ni grupu la maangamizi lenye element za kichawi na kishirikina
 
Mkuu kichwa cha habari hakijakaa vizuri!ili kilete maana napendekeza kingekuwa hivi "Festo Sanga et al, Mbaya wenu CHADEMA ni nani"?Ni hilo tu mkuu!
 
Natoka Kigoma... Nimeaga kwetu... Nitakufa kwa amri ya Mungu... Siogopi kufa. ..Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. (Zotto Kabwe - Mbunge Wa Kigoma Kas 2012).
Mkuu usiogope,hii ni "mikwara ya nanasi nje miba kibao ndani utamu wa ajabu"
 
Back
Top Bottom