tunnel guru hiyooooooooo nayoooo inamfuata pd

Majanga!!!!!.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Hebu achen kuandika nyuz kwa ajili ya kukimbiza wateja wa watu haya mambo mnavyofanya muwe mnaangalia kwa umakini

enjoy++
 
Huyu Sadru ni sypy tu yupo humu kunusanusa. Kama kuna cha kuwapelekea mabwana zake!!
Si unamuona kafungua nyuzi dabo dabo lengo kutu nga'nga
Wahanga wa magari yaliyobutuka
 
Last edited by a moderator:
Mkuu heri ya mwaka sasa mimi nilikuwa naomba kusaidiwa nifanyeje kwa sababu nilikuwa nataka usajili kwenye hiyo programme ya tunnel guru nawewe unasema tena imekuwa mjanga Samahani Mkuu msaada
 
we ongea na mareseller sio alye weka hii post hapo juu
 
Back
Top Bottom