Tunisia yashutumiwa kwa Unyanyasaji Mkubwa dhidi ya Waafrika Weusi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Shirika la Kimataifa la Human Rights Watch (#HRW) limeshutumu maafisa wa usalama wa nchi hiyo kwa kuwanyanyasa wahamiaji Weusi wa Kiafrika wanaofika nchini humo katika harakati za kujaribu kuhamia Ulaya

Shirika hilo limesema limewahoji zaidi ya wahamiaji 20 tokea Machi, 2023, ambapo 7 walikuwa miongoni mwa zaidi ya Waafrika weusi 1,000 waliofukuzwa au kuhamishwa kwa lazima na mamlaka za Tunisia hadi maeneo ya mpakani mwa jangwa la nchi hiyo na Libya na Algeria mapema Mwezi Julai 2023

Rais wa nchi hiyo, Kais Saied amekuwa akiwashutumu wahamiaji kwa vurugu na kubadilisha muundo wa idadi ya watu nchini humo
---

Tunisia accused of 'serious abuses' against black Africans

Tunisia has become the main departure point for migrants seeking to get to EuropeImage caption: Tunisia has become the main departure point for migrants seeking to get to Europe

International campaign group Human Rights Watch (HRW) has accused Tunisian security agents of committing "serious abuses" against black African migrants attempting to get to Europe.

The campaign group said it had interviewed more than 20 migrants and asylum seekers since March.

Seven were among more than 1,000 black Africans expelled or forcibly transferred by the Tunisian authorities to the country's desert border regions with Libya and Algeria this month.

President Kais Saied has accused the migrants of violence and changing the country's demographic make-up.

HRW wants the European Union to withhold funding that was to be used to return the migrants home.

Source: BBC
 
Hayo Mashirika mbona hatujasikia yakilaumu serikali za hizo nchi walizotoka kwa kuongoza nchi zao vibaya hadi raia wanasepa kuusaka utumwa wa hiali yao binafsi... waacha unafiki
 
Back
Top Bottom