Tungo tata jamani lol....

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Watanzania jamani kuna tungo nyingine ambazo zina mana zaidi ya moja ,kwa hyo mtu anaweza akaitamka kukawa na mana zaidi ya moja kwa mtamkaji na anayesikiliza au mpokeaji,hebu kutana na tungo tata hz halafu ujionee mwenyewe:-

-amelalia maji
-amenunua kanga.
-mama amekuja na mbuzi
-khe!!kumbe paa
-tumpe pole.,amekalia kaa
-amelala tanga

vp waungwana mmepata maana ngapi ktk tungo hzo au una nyingine ,ziweke hapo .
 
Nampenda...Nani?
Kijana mmoja...Nani?
Mweupe kidogo...nani?
Nywele zake za singa..nani?
.....Nimchague?...mchague...Nziriye!:blah:
 
utata wauona wewe.....mbona hazina utata wowote...sema unalazimisha akili itafute utata.

lol,sijui una level gani ya elimu,umesoma tz ama wapi?sasa ukisikia mtu anasema amelalia maji hautakuwa na maswali ,je amelala juu ya maji?amekunywa maji ndo akalala?amelala kwa kunywa bia...dogo penda kufikirisha kichwa ktk jukwaa maridhawa kama hl na si unawaza mambo ya tz ambayo ni pasua kichwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom