Tunga sentensi moja kupitia picha hii

lazima ajikombe kwa wakubwa ili kujificha nyuma ya migongo yao....{nasikitika sana kwani tofari la kichwa alilobamizwa nalo na baba wa kanisa limemchanganya sana akili}
 
Mzee yani hii zuga ya kwenda south..imetuliza upepo kabisa
..sasa mimi wacha niende mwanza kufanya matechnics ya kubadili zile docs za mijengo ya kule na pia nipite pale Kolomije..niakikishe mwalimu mkuu analiweka jina la poul kwa lista ya mliomaliza nao shule.
 
Ahhhh! wewe print tu cheti watu wananiandama sana...... tumia manila kabisa halafu uniwekee lamination
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
akili kubwa'z vs akili ndogo
 
Wabebez wanakuelewa lakini aa acha hizo kesho gwajima ataongea na famila da sijui itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…