Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,573
- 2,496
Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025.
Wakizungumza baada ya kujiunga na chama hicho wamesema kuwa wamevutiwa na uzalendo wa Ado Shaibu katika kuitetea Tunduru bila hofu.
Wakizungumza baada ya kujiunga na chama hicho wamesema kuwa wamevutiwa na uzalendo wa Ado Shaibu katika kuitetea Tunduru bila hofu.