Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

tatizo hao wasaidizi unaowasema hawajiamini mkuu wanaishia kuimba zitto zitto tu kana kwamba bila yeye hata mkutano wa watu 10 hawawezi itisha, labda uniambie watakao shindwa kula za maoni ukawa au ccm

by the way unahabari za operations zinazoendeshwa huko geita na chopa, musoma na sehemu nyingi bila mbowe wala slaa hiki ndio kitu ambacho tunakipigania decentrilazation

mambo ya kujilundikia madaraka ni u-dictator, inaonyesha huwaamini wasaidizi wako, na unaamini bila wewe mambo yatasimama ukifa je ina maana chama kitakufa pia

dhana ya kufikia hatua kutumia audio/video yake mfalme kwenye mikutano ya kata naona hujananielewa, nilimaanisha ni kutokana na imani ya wafuasi wake kwamba hakuna anaeweza ongea zaidi yake, hapo mnajenga chama au mtu?

1.Ni msaidizi gani asiyejiamini? Kama ulivyosema kuwa kuna chopa zinaendelea na kazi huko mimi nilikuwa sijui hilo lakini ndivo hivohivo kama ambavyo wewe hujui pia kwamba kuna vijana wengi wa Kitanzania na wanachama wa ACT wakiendelea na kazi ya kukitangaza chama ili kuirudisha nchi katika misingi,wewe unamsikia tu Zitto pekee kwa vitu 2 kwanza kwa kuwa ndiye uliyeamua kumfatilia(Jikumbushe kidogo ule msemo Mti wenye matunda....) lakini pili kwa nafasi yake lazima utamsikia yeye zaidi kulimo wachapa kazi wanaoendeleza movements huko nchi nzima.

2.Hapana nilikuwa SIFAHAMU ila ni jambo zuri,nasi tutafika huko tunaanza na Ruvuma mwisho wa siku wananchi wataamua baada ya kumsikiliza kila mmoja,ni jambo zuri na ndio demokrasia inavotaka

3.Ni madaraka gani anayojirundikia zaidi ya majukumu anayoyafanya akiwa kama Kiongozi mkuu wa chama ambaye jukumu lake kuu ni kueneza chama,au kuna cheo kingine anacho nitajie au nifafanulie hiyo 'KUJIRUNDIKIA' na sio tu kutumia hilo neno.

4.Imani ya mfuasi gani huyo? najua siasa ndivo ilivyo kwamba unatunga kitu kama unavyofanya wewe na kuanza kukihubiri kwa kukihusisha na wapinzani wako hilo nalifahamu Lakini jua kuwa kwa wanachama wa ACT tunaamini kuwa wapo wengi wenye uwezo lakini haiwezekani wote mkawa viongozi lazima awe mmoja na kwa sasa kwa nafasi hiyo yuko ZZK,Ni sawa tu na Chadema mlivoona kwamba Freeman Mbowe ndio anayefaa kuwa katika nafasi ya mwnyekiti na sio SUGU ambaye mnaamini hafai,hii ni Principle kaka ina apply kokote,sehemu yeyote ile aliye na uwezo zaidi watu ndio wanatamani awe kiongozi,ndio mana hata tunapochagua rais tunapewa muda tupime nani ni bora zaidi na ana uwezo tumchague
 
Katika hali inayoonesha watanzania wa Sasa hawategemei propaganda kufanya maamuzi,wananchi wa Wilaya ya Tunduru wamejitokeza kwa wingi kujiunga Na Chama cha ACT Wazalendo huku wakielezea Chama hicho Kama Tumaini Lao jipya Na kuachana na vyama ambavyo Kimsingi vimeshakuwa saccos za watu Fulani huku wakimwelezea kiongozi mkuu wa ACT - Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe Kama shujaa Na kwamba ameonesha kwa vitendo namna anavyotosha kuwa kiongozi ktk taifa hili.

ACT Taifa kwanza leo na kesho.

Unakimbilia kuleta porojo picha ziko wapi tujiridhishe
 
Katika hali inayoonesha watanzania wa Sasa hawategemei propaganda kufanya maamuzi,wananchi wa Wilaya ya Tunduru wamejitokeza kwa wingi kujiunga Na Chama cha ACT Wazalendo huku wakielezea Chama hicho Kama Tumaini Lao jipya Na kuachana na vyama ambavyo Kimsingi vimeshakuwa saccos za watu Fulani huku wakimwelezea kiongozi mkuu wa ACT - Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe Kama shujaa Na kwamba ameonesha kwa vitendo namna anavyotosha kuwa kiongozi ktk taifa hili.

ACT Taifa kwanza leo na kesho.
nipo tunduru mjini haisikiki hatuijui acha kudanganya,yuko mmoja tu ajonga
 
Hongereni wanatunduru kwa kuupokea uzalendo,Sisi Tabora tunaisubiri tarehe 16-04-2015 kwa hamu kubwa,Hatujapata kiwanja cha mkutano kitakachotutosha.
 
Ahmadi umetoka lining CUF
tunduruboy

Sasa unathibitisha kauli yangu kuwa hawa jamaa wankwenda kuipoteza CUF na leo ni Ijumaa, nimengalia ule mkutano Vibarakashia ni vingi sana, kiasi nilifikir ni MUADHARA au matangazo ya Mkutano yalipigwa Msikitini.
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
kama unataka gawio toka kwa zitto mgao wa kinana mdanganye kamata pesa ila ka-act hapa tdr hakana hata dalili,ila jitahidini ila chama hakijengwi kwenye mitandao.
 
songea si tunduru omba ramani ya tanzania,au ndo mlivyofundiswa kigoma tunduru ni kijiji cha songea :shocked:
 
Back
Top Bottom